Mke anahitajika

BUSHU3

Member
Apr 8, 2021
71
72
Nahitaji mke rafiki na hatimaye kuwa mke,sifa zifuatazo zinatakiwa:

I) Awe mkatoliki na anajua maana dini
ii) Hajawahi kufunga ndoa
III) Awe na umri kuanzia miaka 22-28,hata akiwa na mtoto mmoja siyo mbaya.
iv) Kabila lolote Ila mweupe au maji ya kunde na mwili kidogo, mwembamba sana sitaki pia nyuma awe nalo.
v) Elimu si kigezo kwangu ili mradi ajue kusoma na kuandika
vi) Anayeishi mikoa ya kusini itapendeza zaidi maana ndiyo ninakoishi.
vii) Asiwe mnywaji wa pombe, sababu situmii

Sifa zangu;
I) Umri wangu 36
ii) Elimu yangu ni Diploma
III) Nina watoto wawili
iv) Ni mwajiliwa serikalini
v) Sinywi pombe
vi) Maji ya kunde, Nina kg 80

Kwa yeyote mwenye mahitajia au ndugu yake mwenye mahitajia naomba Sana tuwasiliane,Sina utani,huna Cha kucoment pita pembeni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom