Kwa mwendo huu nitatoboa kweli?

gwankaja

JF-Expert Member
May 16, 2011
7,588
2,000
Habri zenu wadau

Mimi nimekuja hapa kutokana na hii tabia ambayo nimekuwa nayo miaka ya karibuni na naona inazidi kukita mizizi.

Kifupi ni kwamba siwezi kabisa kubembeleza mwanamke, yaan akisema hataki namjibu okay, then nafuta sms dialled calls na namba habari inakuwa imeishia hapo.

Nikimpigia mdada mara mbili asipokee na nikatuma sms asijibu basi ni fasta nafuta kila kitu. Shortly huwa napata shida kubembeleza mtu alafu mwisho wa siku bado nimpe hela.

Yaan eti nikomae ili mifuko yangu itoboke dah nashindwa kabisa . Leo nikakaa nikawaza kweli na hii trend nitatoboa kweli, kuna kupata mke kweli? Maana umri nao unakimbia 35 nafikisha miezi michache ijayo.

Huwa natamani nibadilike ila nikikumbuka kipindi cha nyuma nilivyokuwa napambana kupambania mapenzi naona ni ubatili mtupu.
 

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
40,059
2,000
Kwa upepo huo hutoboi mkuu.

Wanawake wanakaujinga kakutaka kubembelezwa na kumuaminisha yale anayoyafikiria.

Ukifanya hivyo usijali muda utakaotumia hata ukitumia mwaka we bembeleza tu.
 

Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
13,961
2,000
ulipofikia ni huna time na madem. hii kitu si nzuri sana.
jifunze sana ku control hiyo hali.
ukiendekeza man hutoa hatansiku moja
 

gwankaja

JF-Expert Member
May 16, 2011
7,588
2,000
Kwa upepo huo hutoboi mkuu.

Wanawake wanakaujinga kakutaka kubembelezwa na kumuaminisha yale anayoyafikiria.

Ukifanya hivyo usijali muda utakaotumia hata ukitumia mwaka we bembeleza tu.
Ni kazi sana shida ni kujua yupi ni yupi!
 

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
617
1,000
Upo sawa mkuu ..... Ukilegeza tu imekula kwako ....hapa sawa nenda sehemu wanazo patikana Ila usiwashobokeee wewe kuwa wewe Kama wewe

Utazpanua mbususu tani yako
 

to yeye

JF-Expert Member
May 30, 2016
4,514
2,000
Kuna binti yangu hapa she is 18 years old virgin gal kakasema amepata mchumba tukafurahi wakaposa tukawa tunasubiri mahari sasa ....mwenzangu!! Si nashangaa binti analia eti wameachana tatizo nini? Binti analalamika jamaa anajua kucommand tu na so kubembeleza.Naprove hilo coz kuna siku nilifuma SMS kwa binti anaambiwa mbona unaringa kupokea simu? Au unaringia uzuri huo? Nikakausha coz ninachojua uzuri na kutopokea simu ni vitu viwili tofauti
 

lamaa

JF-Expert Member
Nov 2, 2018
687
1,000
Ni kawaida sana Wala huna tatizo

Mfano mimi nikashamfunua hata mara moja akiniletea madoido kiburi

Napiga chini
Daah vijana mnatuharibia!!!

Haya mambo ni yakuzungumza kweny vikao vyetu wanaume!!!

We unayaweka hadharan!!! Unawapa wakat mgum wanaoenda baada yako:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom