Why do men lie?

Why do men lie?

Ethan Cruz

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2021
Posts
231
Reaction score
331
Mniruhusu nicheke kwanza....Girls, you wanna know?

Sababu chache kwanini Wanaume ni waongo hizi hapa:

1. WANAJUA
Uongo wa Mwanaume ni kama muvi. Kabla hajadanganya anapanga angle zote na majibu, ana-anticipate ataongea nn, utamjibuje, utamuuliza nn na atakujibu nini... Wanawake hamuwezi, huwa mnapanic na siku zote ukipanic umefeli

2. HATA TUKISEMA KWELI MNADHANI TUNADANGANYA
Hii ndo ilivyo na inaudhi. Kwa sababu tunadanganya sana,hata pale tunaposema kweli basi nyie mnatuona wezi...So hakuna maana kusema kweli, bora tuendelee na PHD ya uongo tu-graduate

3. WANAWAKE WANAPENDA UONGO
Japo hawasemi lakini hili tumeliprove,Wanawake ukimwambia uongo ndo anapenda whether kwa kujua au kwa kutokujua. Ukimwambia ukweli anakuona hamnazo. Ukimwambia Mwanamke kweli utajuta. Itakuwa ndo wimbo bora wa mwaka...Masimago na Rewind button...Mwaka mzima,ukikosea tu wanarewind ulichokiri..

Waulize Wanaume waliowahi kukiri kucheat wakusimulie,wanajuta kwanini walikuwa na mahaba kuliko Bwana yesu...

4. UONGO KWENYE MAPENZI NI NDIMU KWENYE SUPU
Mapenzi ni sanaa na sayansi....Mapenzi sio engineering!

Kama ndimu kwa supu ndivyo Uongo kwenye mahaba...kuan vitu unajua umedanganywa lakini unatolewa macho makavu inabidi uwe mpole..inabaki kama drama,na inaleta ladha flani ambayo ni ngumu kuielezea,japo wanawake wanaweza kuielezea how they feel pale ambapo wanajua wamedanganywa lakini hawana proof kwamba ule ni uongo...Mwanaume anashinda kirahisi...inabakia kama assignment flani hivi kwa Mwanamke kwamba next time lazima awe wise kidogo kumkamata...Na hiyo ndo ladha yenyewe na vionjo vya mahaba

SISEMI MDANGANYE ILA NDIMU KIDOGO TU SUPU IPATE KUKUPA HAMU
 
Sasa unataka tuwatongoze tuwaambie ukweli lengo letu ni kufunua na kusepa
Sasa si mtatukataa tutakosa mawindo


Lazima tuje na uongo wa kuzuga mfano

Mara nitakuoa we usijali ngoja mambo yakae sawa kumbe navuta siku za kukufunua angalau unipe

Baby ni wewe tu hakuna mwengine

Baada ya mama yangu ni wewe ..
Nani kasema namkubali sana bibi yangu na ndugu zangu

Unanitesa sana kumbe hapo nateswa na madeni tu plus baba mwenye nyumba

Sijawahi kupenda Kama nilivyopenda sahivi
Sasa we Amini hivyo maana wenzako pia nawaambia hivyo

Nakutumia pesa hata kama hujaniambia
Hapo utadhani nakupenda kumbe kuna kitu nakilenga nacho ni mbususu



Capitalist never work under loss
 
Uongo (muongo) ni kitoto cha baba wa uongo.. najua umeelewa. Mapenzi mazuri kamwe hayatoki kwenye uongo

Sijasema uongo ni jambo jema, wala sikumaanisha wanaume na wanawake wote ni waongo

Ila nimesema sio waongo wapo sio kwa wanaume tuu hata kwa baadhi ya wanawake pia

Penye wema wabaya hawakosi

Hata malaika wenyewe waliumwambwa na Mungu wapo walioasi

Kikubwa ni kujielewa na kutulia kwenye lane yako
 
Back
Top Bottom