Ndugu zangu, kuna mambo flani huwa yananichanganya
Kuna mtu mmoja tunaishii naye nyumbani (mimi nakaa kwa baba mdogoo bado sjafanikiwa kujitegemea). Mtu huyu ana nafasi kubwa kwa baba yangu mdogo...
Habari yenu wana jamvi. Natumai mu wazima wa afya.
Nisipoteze muda iko hivi
Kuna binti mmoja hapa chuoni niko nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa. Ninampenda & analifahamu hilo. Ndo niliepanga...
Vijana wengi wakike na wakiume wanapotafuta mke/mume huandika kuwa wanamtaka mcha Mungu.
Hivi ni nani atakuambia kuwa mimi simchi Mungu? Kumcha Mungu (kumwogopa Mungu) ni jambo la ndani ya moyo...
Kuna harusi ya dada yake keshokutwa, sasa ameanza kunipanga muda mrefu kwelikweli kwamba niwepo. Sasa dah! Mimi kama baharia huwa nakwepa sana hizi public appearance maana mimi najulikana flani...
Let me tell you a story of how you will meet your Soulmate/ May be you have already met her/him.
1. You will meet him/her at the most inconvenient place and no one between you will even know that...
Habari wadau,
Kwa wale wanaume tulio katika ndoa ambazo si changa mtakubaliana nami kwamba wengi wetu tumekuwa tukikumbana na majibu maarufu kama "nimechoka","naumwa","we nawe unataka kila...
Mimi nikiwa sina stress huwa sina mood kabisa ya Ku sex na ata kma nikisex nakua sienjoy kabisa nafanya tu kwa vile labda mwenzangu anataka kufanya.
Lakin nkiwa na stess nakua active sana na hamu...
Nina rafiki alikuwa ananisimulia jinsi hali yake mahusiano yake anayopitia amepatwa na hofu muda wowote mpenzi wake atavunja mahusiano na hofu hiii inatokana dalili za mabadiliko ya tabia na...
Bob Marley's wife, Rita, once took a bullet to the head that was aimed at Marley in an attempted assassination in Kingston. Despite being shot in the head, she survived, due to her thick...
Mimi nimewahi kuwa mwalimu wa sekondari, shule ya mchanganyiko. Nina uhalisia fulani na mazingira ya shule za kutwa.
Kwa kipindi hiki ambacho elimu ya ngono inafundishwa kuanzia shule za msingi...
Ni jambo linalonitatiza aswaa wakuu, kwa kweli sasa nimepata ule Ubavu wangu niliokuwa nautafuta,kwenye hizo siku zangu zote za uchakataji. Nimepata binti mzuri, wife material mwanamke ambae ndio...
Yaaan naandika huu uzi huku niki fikiria hawa viumbe sijui wakoje kwa kweli wanawake hawanifikirii mara mbili mbili midomo yao ndio inawaomgoza.
Yaan kuna dem alionesha kuvutiwa na mimi nikasema...
Habari za Eid pili wandugu
Kama kawaida yangu ninapitulia ndipo jambo hunijia kama hivi halafu natafuta pakukitolea.
Nimekumbuka tu mbali kidogo miaka hiyo ya ubarubaru. Kipindi ambacho kwa...
Habari waungwana ?
Leo nimepata swali kutoka kwa Rafiki yangu kua mke wake simu haikai chini anakuambia kuwa ni marafiki tu hana mpango naye ila anaongea nao sana akiwa mume wake hayupo.
Tena...
Nawasalimu wana jf Mu wazima humu.
Jamani wanajamvi mpenzi wangu simuelewi kabisa kwa sasa. Nahisi nasalitiwa waziwazi ila ushahidi tu ndo sina.
Nilichoamua kutaka kuidukua simu yake , liwalo na...
Hii imekaaje!?
Mwanamke kabla hajaolewa anatambulika kwa jina la 'Miss X' ambalo ni jina la ukoo wa baba yake. Akishaolewa title inabadilika na kuwa 'Mrs Y' ambalo ni jina la utambulisho la ukoo...
Yaani sio nawadharau ila niukweli.
Mtakuwa mnasaidia wenzenu mademu zao wanawake zao.
Namtabaki tu na stress na kufikia kunywa sumu.
Why mwanamke wanawake watakuwa wanakutema wanakufuata tu...
Kiukwel mim ni mkristu lakin i wish we had thiss..yaan kuwe na ndoa ya wanawake wa4 mwisho..yaan ingekua swaaf kwel yan
Niseme kwamba..wanawake wa skuhiz kuzaa watoto zaid ya wa3 ni...
Habarini zenu ndugu zangu?
Kwa kweli inafikia kipindi nakuwa sielewi hizi ishu za mahusiano.
Mwenzenu nimekuwa kwenye mahusiano na mkaka wa miaka 33. Amenizidi miaka 4. Na tumekuwa naye kwa muda...
Kuna hii nadharia imeenea sana kwenye jamii za kiafrika kuwa mtu anampenda zaidi mtoto ambae sio damu yake kwenye ndoa.
Unakuta mtu ana watoto wanne, wakwanza anafanana nae, wa pili pia wa tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.