Nina rafiki alikuwa ananisimulia jinsi hali yake mahusiano yake anayopitia amepatwa na hofu muda wowote mpenzi wake atavunja mahusiano na hofu hiii inatokana dalili za mabadiliko ya tabia na mwenendo wa mpenzi wake.
Mpaka sasa ana hofu hana amani tena amejaribu mbinu zote kuongea na mpenzi wako kama kuna tatizo basi wasuluhishe lakini binti anaonekana hataki kueleza tatizo haswa ni nini na hata akimuelezea kinamchomsumbua binti anaonekana hayupo tayari tatizo kulimaliza hivyo mshikaji ana hofu sana, hana amani, stress za kuachwa zinamsumbua
Je afanye nini ili ajiondoe katika hiyo haliiii