Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

✍️Ameandika Chris Mauki ( Mtaalamu wa Saikolojia na Mahusiano) KUNA AINA TATU (3) ZA WANAWAKE KWENYE MUKTADHA WA HISIA ZA TENDO, KILA MWANAUME UNAPASWA KUFAHAMU HII ITAKUSAIDIA KUMUELEWA MWENZA...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Mpaji Mungu aliniiita geresa ambaye hafai kutambulishwa nyumbani kwa wakwe. Hii iliniuma sana why ni madharau na ukiangalia sijawahi mlazimisha mtu aje kwangu kwa lazima. Kilichoniuma zaidi ni...
13 Reactions
157 Replies
4K Views
Wakuu, Mimi sina muda maalumu,sikati tamaa,utanizungusha weee nipo nawe tu mpaka pale takapohakikisha kuwa hunipendi. Imenichukua miezi 8 mpaka kuja kumlamba binti jumapili iliyopita. Vipi kwa...
3 Reactions
12 Replies
163 Views
yaani anahitaji boyfriend awe na miaka 25,awe na gari, nyumba, kazi ya maana, iPhone ya mwisho,awe handsome, awe na ndevu zilizo mkaa vizuri , awe na pesa ,awe na muda wa kuwa anachati nae muda...
9 Reactions
36 Replies
551 Views
Hii wiki nzima nilikua mpweke sababu baba watoto wangu alisafiri na mwaka mpya nilikua nauingia nikiwa peke yangu bila yeye. Alfajiri hii nashtuka nasikia kama napapaswa kifuani, nafungua macho...
15 Reactions
221 Replies
4K Views
Wakuu, Mganga wa jadi kazi yake kuponya magonjwa kwa kutumia dawa za mitishamba, hapo dhambi yatoka wapi? Dhambi ni pale mtu huyo anatumia mitishamba hiyo kuua au kufifisha mipango ya mtu...
6 Reactions
18 Replies
500 Views
Nimekuja hapa JamiiForums kuomba ushauri na msaada Kwa namna moja au nyingine, hapa nimekuwa nikisoma tu nyuzi za watu nilikuwa sina account na mimi nimeona nijiunge nitoe yanayonisibu labda...
26 Reactions
201 Replies
8K Views
Shikamooni wakubwa wote humu ndani, wadogo zangu marhaba. Yanasemwa mengi,.yanaongelewa mengi.nayaona meengi lakini kujiamini ndiyo kila kitu. Leo si sikukuu wala nini ila naiona alhamis nzuri...
19 Reactions
616 Replies
14K Views
Ila kuna makaburi mengine hayana aura kabisa, unapita usiku hata vinyweleo havisimami kama yale ya kinondoni.
3 Reactions
15 Replies
321 Views
Muhenga aliyesema shukrani ya punda ni mateke kuna uwezekano alikuwa anaongelea wanawake 😀😃😀😃 Just imagine mwanamke unapambana kumtongoza mwisho unampata baada ya kumpata unajitambulisha kwao...
9 Reactions
19 Replies
590 Views
Mimi ni mfanyakazi katika moja ya ofisi hapa mkoa wa Arusha. Tunafanya kazi ambayo siyo ngumu sana, mara nyingi ni kutumia kompyuta na kushughulikia majukumu ya kila siku ya ofisi. Ndani ya...
8 Reactions
43 Replies
1K Views
  • Redirect
Single mother wengi wamekuwa na tabia za ajabu na zenye kushangaza katika jamii. huwatumia vijana wadogo wa kiume kukizi haja zao huku wakiogopa watu wazima kwa hofu ya kuongozwa au kuendeshwa na...
1 Reactions
– Replies
– Views
Em tupe experience mkuu? Ulikutana wapi na mwenza wako kwa mara ya kwanza? Je ilikuwa ni Club? Kanisani? Mitandao ya kijamii? Kwenye usafiri? Na ilikuaje mpaka mkaanza
6 Reactions
26 Replies
784 Views
Unakuta kijana anaingia kwenye penzi jipya na amenuia kumuoa huyo binti,lakini baada ya muda kijana anakwambia yule binti bhana nimemfatilia ni binti fulani hivi anapenda wanaume, naachana...
5 Reactions
21 Replies
635 Views
Wakuu,utapeli umetamalaki sana mjini. Demu alikosea namba,mimi nikaunga nae kumtongoza, akakubali ikabidi nimpime kwa takribani 4 months. Sasa nikaona nimtumie nauli kwa ajili ya show 35k. Si...
6 Reactions
28 Replies
387 Views
Wana Jf mambo vipi ndugu mko poa nyie mi Niko poa kabisa labda nyie vipi kwenu Ebwana Leo ni siku yangu ya kuzaliwa nimepata ujumbe toka kwenye mitandao yangu aisee wananijali sana wamenikumbuka😭...
4 Reactions
17 Replies
717 Views
Asee wakuu, Januari imeninyoosha kinyama. Wueeeh!!! Fanyeni wepesi!!! Hivi ni maeneo gani ntaweza pata mshangazi wa kizungu!?? Nimfanyie kilimo cha umwagiliaji haraka upesi. Au niingie mtandao...
14 Reactions
88 Replies
1K Views
35-55 ni kipindi cha kutisha kwa wanaume wengi Unagundua: Marafiki wako wa karibu wanakuwa wako busy na familia zao Marafiki zako wengine wameshakata tamaa na maisha hawaoni kutoboa life tena...
40 Reactions
113 Replies
3K Views
Wakubwa kwema, Tafadhali naomba ushauri mimi ni kijana wa miaka 32 sijao ila nina mchumba ambaye tuna mpango wa kuoana mwaka huu na maali nimeishapeleka kwao. Ni mwanamke ninayempenda ambaye...
5 Reactions
37 Replies
792 Views
Back
Top Bottom