hakuna uhuru.
kushikiwa mtoto asie wako.
kuletewa magonjwa ya zinaa..
kuchapiwa/kugongewa pindi unapoyumba kiuchumu.
Ugomvi kila siku hakuna maelewano ndani ya nyumba.
Dharau kibao.
Unatumia njia gani kuachana na mpenzi wako au rafiki yako kama imefikia hatua unaona hamuendani au unaona kabisa huyo mtu huwezi kutoboa naye mbele ya safari?
Nina mengi ya kueleza kuhusu huu ushuhuda , kuna muda unafika hadi najiuliza huyu mwanamke kaniingizaje kwenye hii tabia.
Sometimes tunaweza kukaa pamoja anaanza umbea najikuta nimekolea naanza...
Mwanaume ni kiumbe ambaye ni raising kumteka kimapenzi. Na ndio maana matukio ya Wanaume kupotea na kukutwa kafungiwa ndani kwa mwanamke fulani ni mengi, ilibidi hata Mbosso aandike nyimbo ya...
Times have really changed.
Huko nyuma ikitokea baba/mama akawa na mchepuko basi alikuwa infanyika siri kubwa na michepuko walikuwa treated kwa nafasi ya makahaba waliochangamka. Lakini michepuko...
Ni nani aliita polisi? ? Nimesikitika sana!
Kwa hali zilivyo karne hii ya 21, Nikipata habari kuwa kijana wangu wa miaka 13 ametia mimba mwanamke wa miaka 33:
Nitamuita nimuulize hizi habari ni...
Mpendwa Umuhimu wa Mume/Mke Uonekana Pale atakapojiondoa Maishani Mwako Wewe Unaemzalau !Hila kumbuka Leo unae wewe Lakini Yupo Mtu atampa heshima kesho,Nakuomba Mthamini Sana Uliekua nae Kwa...
Ukweli usiopingika ni kuwa huyo binti yako wa miaka 13 hadi 17 uliyenae hapo nyumbani kwako,unayefikiria ni mwaminifu sana na hawezi kuwa ameshajua mapenzi basi utakuwa unajidanganya mwenyewe...
Kisaikolojia, mwanaume ambaye hapati tendo la ndoa anaweza kuwa na changamoto kadhaa zinazohusiana na akili na hisia, ingawa kila mtu ni tofauti. Sababu kuu ni za kisaikolojia ni:
1. Shinikizo la...
Kuna kesi ya kusuluhisha tumeletewa ya mwanaume ambaye alijua hana uwezo wa kuzalisha kumuoa mkewe bila kumwambia kwamba hana uwezo wa kumpa mmba.
Sasa hivi ndoa ina miaka 3, mke alienda...
Familia nyingi zinasambaratika,watoto wanaachwa bila mama zao na wanabaki na baba yao, chanzo ni nini,athari ni zipi za watoto kulelewa na baba pekee na njia zipi zitumike kunusuru hali hii...
Wakuu,
Mwaka 2023 ni mwaka ambao nilifanya ushetani huu, kanisa huwa lina ka chumba ambako kanaweza kutumika kama store!
Bwana ee nikapata kimchepuko ambacho nilikisotea kwa muda mrefu geti...
WATU WA BLOOD GROUP O WALIO WENGI
Hawa ni watu wenye HASIRA na UBABE sana kwenye maisha yao hawa wwtu WATU WA O
Hawa watu nawaita watu hekaheka (masafa) ukikuta O mchovu basi anatakuwa na...
Mbaya zaidi hujui ameshaliwa na wangapi kwa style karibia zote..
Hujui ametoa mimba mara ngapi
Hujui watu waliopita nae
Alafu aje kuniletea watoto alafu niwapende
Siwezi
Mtu ana makovu ya...
Nasikia anaitwa mamaruu Mariam KWA kweli huyu Binti anaukonga MOYO WANGU, nimechunguza nimeambiwa YUPO ch,,,,,,,,,,,, ana duka la ,,,,,,,,,,,.
Nataka NIJUE KAMA ASHA olewa au BADO nimpose WAKUU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.