Wakuu, Mganga wa jadi kazi yake kuponya magonjwa kwa kutumia dawa za mitishamba, hapo dhambi yatoka wapi? Dhambi ni pale mtu huyo anatumia mitishamba hiyo kuua au kufifisha mipango ya mtu...
Nimekuja hapa JamiiForums kuomba ushauri na msaada Kwa namna moja au nyingine, hapa nimekuwa nikisoma tu nyuzi za watu nilikuwa sina account na mimi nimeona nijiunge nitoe yanayonisibu labda...
Shikamooni wakubwa wote humu ndani, wadogo zangu marhaba.
Yanasemwa mengi,.yanaongelewa mengi.nayaona meengi lakini kujiamini ndiyo kila kitu.
Leo si sikukuu wala nini ila naiona alhamis nzuri...
Muhenga aliyesema shukrani ya punda ni mateke kuna uwezekano alikuwa anaongelea wanawake 😀😃😀😃
Just imagine mwanamke unapambana kumtongoza mwisho unampata baada ya kumpata unajitambulisha kwao...
Mimi ni mfanyakazi katika moja ya ofisi hapa mkoa wa Arusha. Tunafanya kazi ambayo siyo ngumu sana, mara nyingi ni kutumia kompyuta na kushughulikia majukumu ya kila siku ya ofisi. Ndani ya...
Single mother wengi wamekuwa na tabia za ajabu na zenye kushangaza katika jamii. huwatumia vijana wadogo wa kiume kukizi haja zao huku wakiogopa watu wazima kwa hofu ya kuongozwa au kuendeshwa na...
Em tupe experience mkuu?
Ulikutana wapi na mwenza wako kwa mara ya kwanza?
Je ilikuwa ni Club?
Kanisani?
Mitandao ya kijamii?
Kwenye usafiri?
Na ilikuaje mpaka mkaanza
Unakuta kijana anaingia kwenye penzi jipya na amenuia kumuoa huyo binti,lakini baada ya muda kijana anakwambia yule binti bhana nimemfatilia ni binti fulani hivi anapenda wanaume, naachana...
Wakuu,utapeli umetamalaki sana mjini. Demu alikosea namba,mimi nikaunga nae kumtongoza, akakubali ikabidi nimpime kwa takribani 4 months. Sasa nikaona nimtumie nauli kwa ajili ya show 35k.
Si...
Wana Jf mambo vipi ndugu mko poa nyie mi Niko poa kabisa labda nyie vipi kwenu Ebwana Leo ni siku yangu ya kuzaliwa nimepata ujumbe toka kwenye mitandao yangu aisee wananijali sana wamenikumbuka😭...
Asee wakuu, Januari imeninyoosha kinyama. Wueeeh!!!
Fanyeni wepesi!!! Hivi ni maeneo gani ntaweza pata mshangazi wa kizungu!?? Nimfanyie kilimo cha umwagiliaji haraka upesi.
Au niingie mtandao...
35-55 ni kipindi cha kutisha kwa wanaume wengi
Unagundua:
Marafiki wako wa karibu wanakuwa wako busy na familia zao
Marafiki zako wengine wameshakata tamaa na maisha hawaoni kutoboa life tena...
Wakubwa kwema, Tafadhali naomba ushauri mimi ni kijana wa miaka 32 sijao ila nina mchumba ambaye tuna mpango wa kuoana mwaka huu na maali nimeishapeleka kwao.
Ni mwanamke ninayempenda ambaye...
Kuna mtu ameniangaliaa akaamua kusema " We ni mzuri ila usiringe", nikamwambia naringaje wakati niko single, bas hajaamini kabisa.
Yani kutokana na muonekano wangu, ni ngumu sana kueleweka kua...
Mwanamke amekuwa kiumbe cha ajabu hasa hawa wa kipindi hiki.
Ndugu zangu mnisaidie, sasa nadhani inakuwa ngumu sana kumridhisha. Mke anataka mitazamo yake tuu (yaani uwaze vile anawaza na uwe na...
DALILI ZA KUJIJUA KAMA UNA JINI MAHABA.
1. Kuota unafanya MAPENZI na MTU unayomjua au usiyemjua kwa sura tofauti.
2. Kuota unafanya mapenzi na mnyama.
3. Kuota unanyonyesha au kujifungua mtoto...
Jamani habarini wana jf kuna kitu kinanitatiza kidogo kwa huyu mwanamke hivyo nahitaji uzoefu kwa wanawake na wanaume walio oa na kuishi na wanawake wenye mimba.
Ni kwamba mm nina mke tumeishi...
ITULIZE PESA KWAKO!
IFANYE PESA IKAE KWAKO!
Kama pesa kwako unaipata kwa tabu sana,
kama pesa inaingia na kutoka bila kukaa,
kama pesa haikai kabisa…
Kama unawaazima waatu pesa hawarudishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.