Wakuu,
Yamenitokea, sina furaha kabisa😭😭mtaani kwetu Kuna mdada mzuri kapanga anafanya kazi ktk ofsi fulani.
Siku ya kwanza tu kuingia ktk chumba nikachangamkia fursa, nikaenda kupika nae...
Wakuu, tangu nimejiunga katika jukwaa hili may 10,2023 nimefanikiwa kufikisha reactions mbalimbali takribani 10,530. Kufikisha reactions takribani 10530 ni hatua ambayo si ya kupuuzwa kwani maoni...
Sijisifii... Nasikitika tu kuwa nimekuwa na tabia mbaya sana. Nimetembea na zaidi ya wanawake 150. Hao ni ambao nimewakumbuka. Nimeona maumbile ya aina tofaut tofaut.
Kuna ambao ni flat, kuna...
Hebu njoen
Dr dogoli kinyamkela ☠️ 💀 naomba nisaidie mawazo mm nna miaka 35 nimeolewa miaka 7 iliyopita mume wangu ana uwezo mkubwa sana
Ananipa kila kitu nnachotaka
Nakatazwa kutoka nje hata...
Ni ngumu sana hapa Dar es salaam kumjua mwanake wa mtu.Kibaya zaidi hao wanawake wenu tukiwasimamisha na kuwatongoza wanasema hawajaolewa na wala hawana watoto,Sasa kosa langu hapo mimi ni lipi...
✍️Ameandika Chris Mauki ( Mtaalamu wa Saikolojia na Mahusiano)
KUNA AINA TATU (3) ZA WANAWAKE KWENYE MUKTADHA WA HISIA ZA TENDO, KILA MWANAUME UNAPASWA KUFAHAMU HII ITAKUSAIDIA KUMUELEWA MWENZA...
Mpaji Mungu aliniiita geresa ambaye hafai kutambulishwa nyumbani kwa wakwe.
Hii iliniuma sana why ni madharau na ukiangalia sijawahi mlazimisha mtu aje kwangu kwa lazima.
Kilichoniuma zaidi ni...
Wakuu,
Mimi sina muda maalumu,sikati tamaa,utanizungusha weee nipo nawe tu mpaka pale takapohakikisha kuwa hunipendi.
Imenichukua miezi 8 mpaka kuja kumlamba binti jumapili iliyopita.
Vipi kwa...
yaani anahitaji boyfriend awe na miaka 25,awe na gari, nyumba, kazi ya maana, iPhone ya mwisho,awe handsome, awe na ndevu zilizo mkaa vizuri , awe na pesa ,awe na muda wa kuwa anachati nae muda...
Hii wiki nzima nilikua mpweke sababu baba watoto wangu alisafiri na mwaka mpya nilikua nauingia nikiwa peke yangu bila yeye.
Alfajiri hii nashtuka nasikia kama napapaswa kifuani, nafungua macho...
Wakuu, Mganga wa jadi kazi yake kuponya magonjwa kwa kutumia dawa za mitishamba, hapo dhambi yatoka wapi? Dhambi ni pale mtu huyo anatumia mitishamba hiyo kuua au kufifisha mipango ya mtu...
Nimekuja hapa JamiiForums kuomba ushauri na msaada Kwa namna moja au nyingine, hapa nimekuwa nikisoma tu nyuzi za watu nilikuwa sina account na mimi nimeona nijiunge nitoe yanayonisibu labda...
Shikamooni wakubwa wote humu ndani, wadogo zangu marhaba.
Yanasemwa mengi,.yanaongelewa mengi.nayaona meengi lakini kujiamini ndiyo kila kitu.
Leo si sikukuu wala nini ila naiona alhamis nzuri...
Muhenga aliyesema shukrani ya punda ni mateke kuna uwezekano alikuwa anaongelea wanawake 😀😃😀😃
Just imagine mwanamke unapambana kumtongoza mwisho unampata baada ya kumpata unajitambulisha kwao...
Mimi ni mfanyakazi katika moja ya ofisi hapa mkoa wa Arusha. Tunafanya kazi ambayo siyo ngumu sana, mara nyingi ni kutumia kompyuta na kushughulikia majukumu ya kila siku ya ofisi. Ndani ya...
Single mother wengi wamekuwa na tabia za ajabu na zenye kushangaza katika jamii. huwatumia vijana wadogo wa kiume kukizi haja zao huku wakiogopa watu wazima kwa hofu ya kuongozwa au kuendeshwa na...
Em tupe experience mkuu?
Ulikutana wapi na mwenza wako kwa mara ya kwanza?
Je ilikuwa ni Club?
Kanisani?
Mitandao ya kijamii?
Kwenye usafiri?
Na ilikuaje mpaka mkaanza
Unakuta kijana anaingia kwenye penzi jipya na amenuia kumuoa huyo binti,lakini baada ya muda kijana anakwambia yule binti bhana nimemfatilia ni binti fulani hivi anapenda wanaume, naachana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.