and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,232
- 39,715
Mimi nimeoa yapata miaka 5 sasa na tumejaliwa watoto wa 3 katika ndoa yetu na mke wangu, sasa shida inakuja imetokea nimefanya kosa na kuomba msamaha kwa mke wangu, itachukua hata siku 4 au 5 "kusema nimekusamehe"
Hapo utadhani umesamehewa lakini siku imetokea ugomvi/kutokuelewana atakumbushia makosa yako yote toka enzi za uchumba na anakuambia hakusamehe kipindi kile.
Lakini yeye hata kama amekosea ukamuambia kistaarabu pale alipokosea hujihami kwa kupaza sauti kuwa amechoka na hii ndoa na kupiga makabati kisha hutoka chumbani na kubamiza mlango kwa nguvu.
Ushauri tafadhali