Niliponusurika kupata UKIMWI mara tatu

Emmanuel180

Senior Member
Dec 17, 2019
187
250
Stori yangu inaanzia mbali sana kipindi nikiwa chuo kikuu fulani, ilikua ni mwaka wa pili nikisoma shahada moja ya sayansi

Nakumbuka nilikua field nikakutana na mdada mzuri sana mweupe ana macho yanawaka mithiri ya theluji ya mlima Kilimanjaro miaka hio, 60 nyuma kabla ya mabadiliko ya hali ya hewa huyu mdada alikua ni mmoja ya wahusika kwenye taasisi ile alikua na umbo nzuri la kuvutia Ajabu nikaja kuambiwa yupo na miaka 17 alikua kama mwanafunzi pale

Basi nikafanya field wakati nikiwa pale nilikua najuana na kijana mmoja wa taasisi ile ambaye alikua talented sana akawa rafiki angu alikua anapenda kuimba na kushake na ku dance. Hakika alikua kijana hodari sana

Sasa muda ukapita nikamaliza field nikarudi chuo

Nilikua nimerudi discussion akili yangu imechoka nikachukua Simu yangu niangalie status whatsaap kama kawaida kuona ni nini kimejiri huko nilikua mpenzi sana wa Memes, maana wale walikua ndio wanaoniondolea stress heshima kubwa sana kwenu Memelords

Basi ghafla nikaona picha ya yule dada iko uploaded na jamaa yangu Jimmy ambae anafanya kazi taasis ile nikamuuliza jimmy huyu dada anaitwa nan akanambia witness

Nikamwabia asee hii pisi ni kali sana niliiona hapo ofisini. Bila hiana jimmy akanipa namba ya witness

Sasa kazi ikawa kwangu mtoto wa kiume nikamtext kwanza mtoto whatsaap akakaa kama siku 2 ndipo nikaona blue tick then aka reply poaa mzima wewe? Kwa bahati nzuri DP yangu ilikua na picha yangu kwaio wala hakuniuliza nani wewe? Nikamwambia umenipata lakin?

Akajibu Yes!!! Dooouh

Mwanaume nikajisemea kimoyo moyo hiii pisi itakua ilikua inanielewa lakini nilikua napoteza muda tu shwaini mimi

Basi usiku ule nikaishia hapo nikamwambia usiku mwema!! Nilikua nataka kukusalimia tu leo

Mtoto akajibu "mbona mapema?"

Moyo wangu ukalipuka puuuuuuuh mithili ya bomu la Hiroshima kule Nagasaki Japan mwaka huuo wakati mMarekani ana wasnitch wenzie

Nikamwambia imepita muda mrefu toka nimeondoka hapo lakini ajabu unanikumbuka vizuri akasema wewe peke ako ulikua huongei sana mi na admire sana kua marafiki na wakaka ambao sio waongeaji sana kheeeee!!! Nikajikuta kama simba dume ndani ya banda la swala napepewa tu nianze kazi

Usiku uleule mid night sana yule mtoto alikua anatabia ya kunitafta kuanzia saa 7 au 8 usiku siku zingine, kidume nausingizi ila najikaza najua hiiii pisi saa 8 ukiwasha data tu unaona iko online na ka meseji ka Hi

Sasa zikapita siku kadhaa kila siku tunachat kidg tunalala

Basi ikabidi mwanaume nifunguke kwamba toka nimefika apo kwenye taasisi yenu nilitokea kuvutiwa sana na wewe!!!

Nilikaa kidogo nikaona Voice recording...................

Mwanaume naogopa hatariiiiii hili jibu lisije kua nisilotegemea basi buana

Nikaifungua ile meseji......nikasikia sauti lainiiiiiiiiiii ikuongea kiswahili na kizungu humo ndani lakin nilisikia mimi piaa nakupenda hujakosea wala usiogope siku zoote toka umefika haapa niliona tu matendo yako......basi kidume nilijiona kama John Cena ndani ya ukumbi wa mieleka naona kabisa hapa sina mpinzani

Basi siku moja nikamuomba aje chuoni maana nilikua naishi peke angu chumba self contained kila kitu ndani nikajiaminisha hapa akija mtoto kwa hadhi hiii ya room hachomoki wallaaaaah

Akaniahidi kuja juma 3 ataomba ruhusa aseme anaumwa then aje

Ikafika juma 3 nikanywa zangu Mo energy nikachanganya na azam energy nikatimba stend kuuu palikua na umbali kidg eneo hilo ni uchagani guys

Sasa baada ya kufika pale nikakaa kama masaa 3 pisi haitokei ilipotokea sasa imevaa vizuri mnoooo!!!

Gauni moja liko tight umbo la mtoto linaonekana then aina ile ya nguo imeacha offshoulder

Mtoto wa kiume nikapagawa mnooooooooo

Sasa tukapanda bajaji mo town hao tunaelekea Uru sasa buana

Balaa likaaanzia njiani MtoTo nafika KCMC anasema siwezi kuendelea nikakaza twende kwann? Anasema huku kuna ndugu zangu wengi sana duuuuuuuuh

Nikasema buan buana kitunguuu kinataka kuingia mchanga kwanza akasimamisha bajaji akashuka akasema kama nataka tuwe woote turudi town na ni heri tuende hata guest but huku kuna ndugu wengi sana ndugu zangu NOOOOOO NOOOO NOOOOO siwez kwenda muda huuuu

Duuuh!!! Nikasema sawaaa tukarud mahali tukala vuzuri baada ya kula sasa tukiwa tunapiga stori tu vzr

Uzuri pale pale kulikua na guest nikauliza wakanambia ipo buku nikatoa hela ya guest..........

Sasa ajabu baada ya kutoa ile pesa sasa na mimi nilikua ni mtu ambae naendeshwa sana na hisia zangu kuna kitu kinaitwa conscience kwa wale ambao mmesoma psychology hua simlazimishi manzi akisema NO!!! kilichotokea sasa nikamwabia twende akasema hapana siwezi kwenda

Moyoni nimetoa hela ya guest lakin ghafla mzuka wa kwenda kumchapa manzi umeniisha lakin pisi ni kali mashaaalaaaah

Nikasema itaendelea............
 
Snowden E

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
540
1,000
Stori yangu inaanz mbali sanaaaa kipindi nikiwa chuo kikuu fulani, ilikua ni mwaka wa pili nikisoma shahada moja ya sayansi

Nakumbuka nilikua field nikakutana na mdada mzuri sana mweupe ana macho yanawaka mithiri ya theluji ya mlima kilimanjaro miaka hiooo, 60 nyuma kabla ya mabadiliko ya hali ya hewa huyu mdada alikua ni mmoja ya wahusika kwenye taasisi ile alikua na umbo nzuri la kuvutia Ajabu nikaja kuambiwa yupo na miaka 17 alikua kama mwanafunzi pale

Basi nikafanya field wakati nikiwa pale nilikua najuana na kijana mmoja wa taasisi ile ambae alikua talented sana akawa rafiki angu alikua anapenda kuimba na kushake na ku dance. Hakika alikua kijana hodari sana

Sasa muda ukapita nikamaliza field nikarudi chuo

Nilikua nimerudi discussion akili yangu imechoka nikachukua Simu yangu niangalie status whatsaap kama kawaida kuona ni nini kimejiri huko nilikua mpenzi sana wa Memes maana wale walikua ndio wanaoniondolea stress heshima kubwa sana kwenu Memelords

Basi ghafla nikaona picha ya yule dada iko uploaded na jamaa yangu Jimmy ambae anafanya kazi taasis ile nikamuuliza jimmy huyu dada anaitwa nan akanambia witness

Nikamwabia asee hii pisi ni kali sana niliiona hapo ofisini. Bila hiana jimmy akanipa namba ya witness

Sasa kazi ikawa kwangu mtoto wa kiume nikamtext kwanza mtoto whatsaap akakaa kama siku 2 ndipo nikaona blue tick then aka reply poaa mzima wewe? Kwa bahati nzuri DP yangu ilikua na picha yangu kwaio wala hakuniuliza nani wewe? Nikamwambia umenipata lakin?

Akajibu Yes!!! Dooouh

Mwanaume nikajisemea kimoyo moyo hiii pisi itakua ilikua inanielewa lakini nilikua napoteza muda tu shwaini mimi

Basi usiku ule nikaishia hapo nikamwambia usiku mwema!! Nilikua nataka kukusalimia tu leo

Mtoto akajibu "mbona mapema?"

Moyo wangu ukalipuka puuuuuuuh mithili ya bomu la Hiroshima kule Nagasaki Japan mwaka huuo wakati mMarekani ana wasnitch wenzie

Nikamwambia imepita muda mrefu toka nimeondoka hapo lakini ajabu unanikumbuka vizuri akasema wewe peke ako ulikua huongei sana mi na admire sana kua marafiki na wakaka ambao sio waongeaji sana kheeeee!!! Nikajikuta kama simba dume ndani ya banda la swala napepewa tu nianze kazi

Usiku uleule mid night sana yule mtoto alikua anatabia ya kunitafta kuanzia saa 7 au 8 usiku siku zingine, kidume nausingizi ila najikaza najua hiiii pisi saa 8 ukiwasha data tu unaona iko online na ka meseji ka Hi

Sasa zikapita siku kadhaa kila siku tunachat kidg tunalala

Basi ikabidi mwanaume nifunguke kwamba toka nimefika apo kwenye taasisi yenu nilitokea kuvutiwa sana na wewe!!!

Nilikaa kidogo nikaona Voice recording...................

Mwanaume naogopa hatariiiiii hili jibu lisije kua nisilotegemea basi buana

Nikaifungua ile meseji......nikasikia sauti lainiiiiiiiiiii ikuongea kiswahili na kizungu humo ndani lakin nilisikia mimi piaa nakupenda hujakosea wala usiogope siku zoote toka umefika haapa niliona tu matendo yako......basi kidume nilijiona kama John Cena ndani ya ukumbi wa mieleka naona kabisa hapa sina mpinzani

Basi siku moja nikamuomba aje chuoni maana nilikua naishi peke angu chumba self contained kila kitu ndani nikajiaminisha hapa akija mtoto kwa hadhi hiii ya room hachomoki wallaaaaah

Akaniahidi kuja juma 3 ataomba ruhusa aseme anaumwa then aje

Ikafika juma 3 nikanywa zangu Mo energy nikachanganya na azam energy nikatimba stend kuuu palikua na umbali kidg eneo hilo ni uchagani guys

Sasa baada ya kufika pale nikakaa kama masaa 3 pisi haitokei ilipotokea sasa imevaa vizuri mnoooo!!!

Gauni moja liko tight umbo la mtoto linaonekana then aina ile ya nguo imeacha offshoulder

Mtoto wa kiume nikapagawa mnooooooooo

Sasa tukapanda bajaji mo town haooooooooo tunaelekea Uru sasa buanaaaaaaaaa🦼

Balaaaaaa likaaanzia njiani MtoTo nafika KCMC anasema siwezi kuendelea nikakaza twende kwann? Anasema huku kuna ndugu zangu wengi sana duuuuuuuuh

Nikasema buan buana kitunguuu kinataka kuingia mchanga kwanza akasimamisha bajaji akashuka akasema kama nataka tuwe woote turudi town na ni heri tuende hata guest but huku kuna ndugu wengi sana ndugu zangu NOOOOOO NOOOO NOOOOO siwez kwenda muda huuuu

Duuuh!!! Nikasema sawaaa tukarud mahali tukala vuzuri baada ya kula sasa tukiwa tunapiga stori tu vzr

Uzuri pale pale kulikua na guest nikauliza wakanambia ipo buku nikatoa hela ya guest..........

Sasa ajabu baada ya kutoa ile pesa sasa na mimi nilikua ni mtu ambae naendeshwa sana na hisia zangu kuna kitu kinaitwa conscience kwa wale ambao mmesoma psychology hua simlazimishi manzi akisema NO!!! kilichotokea sasa nikamwabia twende akasema hapana siwezi kwenda

Moyoni nimetoa hela ya guest lakin ghafla mzuka wa kwenda kumchapa manzi umeniisha lakin pisi ni kali mashaaalaaaah

Nikasema itaendelea............
Agiza Uji na pilau nitalipa....
 
Ochumeraa

JF-Expert Member
May 18, 2015
4,256
2,000
Amesema alikuwa anasoma course ya sayansi, halafu yupo kcmc safari inaendelea itakuwa ushirika wa Neema, kisha katia psychology du hii itakuwa kasoma education Cathoric university Mwenge, mwalimu acha mbwembwe
Na story iishie hapo,you nailed it.
 
dronedrake

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
9,148
2,000
index.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom