Habari za mchana wadau.
Ni hivi ni takriban miezi sita Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu,tunapendana Sana na tumespend Sana kipindi cha miez mitano iliyopita bila mkewe kujua.
Nikapata Safari...
Habari za wakati huu wanaJF
Binafsi nipo mzima wa afya naamini pia nanyi mu wa wazima!
Kuna mdada nilifahamiana naye kutoka kwa aliyewahi kuwa mpenzi wangu. Ushemeji wetu ulidumu kwa muda...
Ninavyozungumza hivi sasa kuna binti tayari ana ujauzito wangu mpaka anakuja kujifungua nitakuwa nina miaka 35 na huyo ndio atakuwa first born wangu na mpaka sasa sijui kama nimewahi au...
Ningependa Kufahamu Labda Mimi Tu Ndoa Yangu Au Ni Sawa Na Wengine, Ni Mara Ngapi You Are A Having Sex With Your Wife Or Husband In A Week? Sometimes I May Think Am Right Kumbe Am Abnormal Na Muda...
John Madela anahitaji aoe mke wa kinyaturu huko singida ameahidi kumpa sh 150,000 (Laki moja na nusu) cash yeyote atakaye msaidia kupata mke kutoka kijijisi sio mjini.
Sifa za John Madela
umri...
Kwa ufupi sana, niliwahi kudate na mwanamke flani miaka ya nyuma mkoa flani sitautaja.
Tukapotezana kwa maana ya kuonana, ila mawasiliano yalikuwepo kwa simu. Juzi kati amekuja mjini kwa biashara...
Wakuu Pasaka ndio hiyo nipo zangu ndani hapa nna flu siielewi elewi basi inanikera kwel kwel. Sisikii hata hamu ya kilaji na mvua hii dah sie watoto wa daslam hatupendagi baridi na mi mvua. Sisi...
Habari za wakati huu wakubwa
Mie ni kijana wa kiume mwenye miaka 28, Mtoto wa Pili katika familia yetu ila Kaka (First born), Baba na Mama walishatangulia mbele za Haki, nipo na wadogo zangu...
Hili ni swali la watu waliokomaa kinapenzi na wenye experience na wenye ndoa. Kama haupo kwenye Hayo niliyotaja usijibu
Hivi ni Kwa nini utakuta mwanamke amesoma ana kazi nzuri na anaheshimika...
Wakuu nipo kwenye mahusiano nisiyoyaelewa kwa maana kuna mwanamke nipo nae nampenda sana ila yeye inaonyesha hanipendi lakini nikijitahidi kusema nimkaushie nashindwa.
Mwanzoni alikuwa ananipenda...
Wakuu habari zenu, niende moja kwa moja kwenye topic
Mimi kwa sasa ninaishi mkoa tofauti na mpenzi wangu, sasa siku ya tarehe 26 huyu dada aliniambia anaenda Dar kufata mzigo wa viatu na pia...
Salamu Wana jukwaa.
Niende kwenye maada moja kwa moja,kama unavyojua kwa wale tuliozaliwa vijijini mwanzoni mwa miaka ya sabini mpaka mwanzoni mwa miaka ya themanini.Shule za sekondari zilikuwa...
Kwanza hakikisha unatafta mwenza (well for men only)
1. Mpite miaka zaid ya 10
2. Elimu yake kibongo bongo awe La saba or form4 or six
3. Awe hana kazi inayoeleweka yaan wewe ndio mtaftie mchongo...
Kwanini unafanya hivo? Unakuwa na malengo gani?
Mimi nakuaga bize ila siku nikitulia naanza kuwasaka mmoja mmoja. Bahati mbaya unakuta wamebanwa na kazi au tayari wana wapendwa wengine na wengne...
Habarini,
Jana katika kupitia taarifa za group, la shule niliyosoma secondary, nakutana na ujumbe kuwa naima, anaolewa jumamosi ya leo, nimekosa raha ndugu zangu, kwani ni miaka takribani 13...
Mimi ni kijana mwenzio. Nimeoa ila kwa sasa ndoa yangu aipo tena, yaani sipo tena na mke wangu.
Sasa tatizo lilikuja vipi
Mimi nili safiri kwenda zangu USA ndugu zangu wali nifanyia visit...
Tukiwa tunaadhimisha siku ya hedhi duniani mojawapo ya Jambo ambalo ningependa kulizungumzia ni uelewa wa wanaume juu ya matumizi sahihi ya taulo za kike au ped /sanitary pad.
Je, wewe kama...
Mkishapeana mawasiliano mtu akakwambia anaomba picha yako...tuma.
Unapomwambia "usiwe na haraka utaniona tu" maanake unaficha nini?
We si ndio umebandika tangazo kuwa una shida ya kuolewa? Picha...
Sio siri hii kitu iko wazi na nimeshawahi kushuhudia watu wangu kadhaa wakikumbwa na hii kadhia! Unakuta mtu yupo na mpenzi wake katikati ya mahusiano mambo yanakuwa tight ghafla labda mchizi...