Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Tukiwa tunaadhimisha siku ya hedhi duniani mojawapo ya Jambo ambalo ningependa kulizungumzia ni uelewa wa wanaume juu ya matumizi sahihi ya taulo za kike au ped /sanitary pad.
Je, wewe kama mwanaume unafahamu taulo za kike?
Je, huwa unahakikisha mwanao wa kike au mwanamke yoyote wa karibu yako anapata hedhi salama kwa kumnunulia pedi? Au Bado uko na mentality kwamba huwezi shika ped?
Unafahamu pedi gani? Zitaje.
Je, ulishawahi kuona hedhi? Ulijiskiaje?
Neno moja kwa hedhi tafadhali