Raha ya penzi la utotoni

geek jo

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
1,134
1,143
loveletter.png

Barua hii imenikumbusha mbali sana...! Kupendwa Raha Sana.....
 
Kwakweli, wao kuisoma tu ilitosha sio kuanza kuisambaza mitandaoni, ili iweje sasa!! Au ndio uwaziri uligoma sasa anatafuta atention kivingine!!!!
mmh ila mimi sijaona ubaya wowote kushare hiyo barua.. maana wengine wangependa kujua maendeleo ya hao watoto!
 
Kwahiyo maendeleo ya hao watoto ndio yako kwenye barua?
Wangetuelezea wanavyoendelea tusingewaelewa? Mbona hata videos zao wakiwa kwenye mazoezi ya viungo zinarushwa na inatosha kuelezea wanavyoendelea!!!
 
Daaah dogo kaulamba papuch ya USA sio mchezo tena ya kishua naona Wilson high school anaenda kusomea state
Dogo ameshapata network ya ukweli... hahah.. si unajua tena wazungu wakipenda wanapenda kweli kweli.. tena hawa ndio wameanza utotoni ni hatari,,,,
 
Kwahiyo maendeleo ya hao watoto ndio yako kwenye barua?
Wangetuelezea wanavyoendelea tusingewaelewa? Mbona hata videos zao wakiwa kwenye mazoezi ya viungo zinarushwa na inatosha kuelezea wanavyoendelea!!!
Barua inasaidia kutufahamisha kuwa wameweza kupata na marafiki pia,,, yaani wabongo mnataka updates za hospitalini tu,,,,, hawa watoto walihitaji zaidi ya matibabu pia vitu vya kuwajenga kisaikolojia kwa mkasa waliopitia!
 
Kwa upande wangu naona sio sahihi. Labda mi ndo mshamba ...

inawezekana upo sahihi.. lakin pia inawezekana mtoto mwenyewe aliruhusu ashare kwa watu wanaofwatilia maendeleo yao huko,,,, so dont judge to soon!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom