Hello dear friends!
Nipo hapa kwenye hili jukwaa for the first time looking for a life partner wakumaliziana muda wetu wa maisha ulobaki hapa duniani. Ok sifa zangu ni hizi hapa. Am a woman of 33...
Niko kwenye Kipindi ambacho nahisi nimeibeba dunia yote, Akili imestuck kabisa nikiwa nawaza miezi 3 niliyoambiwa nisubiri na madaktari nikapime tena afya itakuaje Kama nikiambiwa Niko positive...
Ni mama yangu mdogo kabisaa, sijui kwanini imekua hivi, yani nafanya nae mapenzi kama demu wangu na kama tumeringana umri, hua nashindwa kumuangalia nikiwa nipo nae mbele ya mama yangu, ila sio...
Wakuu Habari
Ni mwezi sasa nikiwa kwenye mahusiano na binti wa miaka 24 tulikutana Arusha kwenye inshu ya kikazi. Tulitokea kuzoeana kiasi kwamba ilifikia hatua akanitambulisha kwa rafiki zake...
[emoji1318]
WAKUU,
MAKOSA MATATU YA KIMATAIFA YANAYOWAANGAMIZA MWANAUME ULIMWENGUN KWA KIWANGO CHA FLYOVER::
1)
KOSA NAMBA MOJA:
KUSOMESHA MWENZI-
KAMWE USIJICHANGANYE KUSOMESHA MWANAMKE...
Habari wana bodi! Mimi ni mtanzania umri wangu ni miaka 31, nimejiajiri, NAHITAJI mwanamke umri miaka 20 hadi 27 awe anajua nini maana ya familia pia awe mcha dini sichagui kabila rangi wala...
Kiukweli wanawake waliopo ndani ya ndoa ni tatizo sana.
Kiufupi wale wanawake wanao jiuza ni wagumu kuwapata lakini sio wake za watu. Kumpata anae jiuza itakutaka ufanye kazi upate pesa za kwenda...
Kama tujuavyo Binadamu hujifunza vitu vingi kutoka kwa wazazi au walezi wake hata walimu wa Shule za Awali/madarasa ya awali katika Shule za Msingi.
Je kwenye mapenzi je ni nani alikufundisha...
Nawasalimu kwa jina la JamiiForum.
Miezi takribani mitatu kama sio miwili kuna dada nlitokea kumpenda, ni dada wa kichaga ambaye nilibahatika kukaa nyuma yake wakati tukifanya jaribio...
Husika kichwa cha habari hapo wanajamnvi huwa tulio wengi tunasikia hawa wadada wakisema kuna kitu ambacho mpenzi wako akikuletea yaani mwanaume hata kama ni kidogo au cha kawaida utamuona kama...
Wanaume wengi kwenye mambo ya kujirusha wanaangalia vitu vya nje vile vinavyotamanisha, kuwapa mzuka na kuwatega ila inapokuja kwenye suala la kuoa huwa wanaangalia mke na sio mwanamke tuu...
salaam wakuu,
NI IPI COUPLE NZURI KWAKO?
1. Couple ya mwenye wivu VS mwenye wivu.
2. Couple ya mwenye wivu VS asie na wivu.
3. Couple ya asie na wivu VS asie wivu.
Katika mahusiano kila mtu...
Habari, JF ni sehemu sahihi ya majibu sahihi.
Nipo kwenye hatua za mwisho kufanya maamuzi ya kupata mama watoto. Wapo mabinti wawili imekuwa ni mchuano mkubwa wa kupata selection.
Yupo mmoja...
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 28
Elimu: Electrical and Electronics Engineer
Makazi: mbezi luis dar es salaam
Kazi: Kwasasa bado sijaajiriwa
Nahitaji msichana kuanzia umri wa miaka 21 tuwe...
Wakati kila siku mara moja au zaidi huwa tunawatext wanawake. Aidha wawe ni wapenzi wetu, tunaowatongoza ama marafiki zetu. Na kila siku huwa tunapatwa na changamoto mbalimbali kutokana na...
MWAKA 2019
JAMAA: Kaka Miyeyusho habari? Naitwa Nassoro, samahani naomba unishauri. Nina mchumba wangu nampenda ila yeye anipendi, mara kadhaa ameniambia tuachane ila nambembeleza tunarudiana...
Hellow!
Habarini wapendwa mimi ni mwanamke, nahitaji mwanaume mwenye nia ya dhati, bila kujali nina mtoto au sina mtoto
SIFA ZANGU
Umri:30yrs
Marital Status:Single,sijawahi kuolewa
Colour:Maji...
(Nimeiona sehem)
Tazama jasho linavyomtoka topeni. Yuko kazini. anapigana na maisha apate senti kadhaa. Ni MWANAUME! Ameumbwa kupambana na kutafuta na akitoka hapo ana ujira unaosubiri...
Unapokuwa na mwenza mwenye tabia ya kuchukia chukia kila wakati yaani jambo dogo ameshakasirika wakati mwingine ni jambo la kawaida tu lakini yeye amechukia/amenuna hataki umsemeshe kuvimba yaani...