Zegota
JF-Expert Member
- Jun 5, 2020
- 274
- 584
Niko kwenye Kipindi ambacho nahisi nimeibeba dunia yote, Akili imestuck kabisa nikiwa nawaza miezi 3 niliyoambiwa nisubiri na madaktari nikapime tena afya itakuaje Kama nikiambiwa Niko positive?
Safari yangu ya Tanga imekuwa mbaya sana,.nauona mstari mwembamba katikati ya kifo na maisha.
Diana, Sikulaumu hili nimelitaka mwenyewe, Uzuri wako ulifanya nikuamini kwa macho, Sina Cha kufanya zaidi ya kuomba mungu niwe salama baada ya hizo siku 90. Nitawezaje kutumia zile ARV kila siku?.
Siwezi kuishi nikiwa muathirika na Kama nikithibika hivo nitawaachia dunia kuliko kuishi kwa hofu namna hii.