Mwanamke ninayeona anafaa kuwa mke hakubaliki mbele za watu, ninayemtilia shaka ndiye naambiwa anafaa

PierreLiquid

JF-Expert Member
Oct 16, 2019
596
2,280
Habari, JF ni sehemu sahihi ya majibu sahihi.

Nipo kwenye hatua za mwisho kufanya maamuzi ya kupata mama watoto. Wapo mabinti wawili imekuwa ni mchuano mkubwa wa kupata selection.

Yupo mmoja yeye kila ninapomuonyesha mbele ya watu wangu wa karibu wanasema huyu ndio sahihi kuwa mke, kwangu mimi kwenye machaguo yangu kila nikiselect naona asiepewa nafasi ya kukubalika mbele za watu ndio anafit.

Hofu kubwa je huwenda macho yangu yamefunikwa na ukungu wa upendo mpaka kutokujua palipo sahihi ikanipelekea kukosea na kuharibu maisha yangu na kupata majutio makubwa.

Nimebaki njia panda...je, kwa maoni yako kwa maelezo yangu ni wapi palipokuwa sahihi?

Namalizia kwa kusema kosea kujenga ila usikosee kuoa..
 
Sawa, maana ilifika hatua wengne wanasema usipomua huyu mwanamke utakuja kujuta..lazm hofu iwepo
Hiyo kauli ya kusema sijui kosea kujenga sijui kuoa.....,ni ya kishamba we owa unayeona anakufaa kwa sasa badae akizingua hafai piga chini Daka mwingine
Kwani ni ngumu kujua mtu anawaza nini kabla ya kuolewa
 
Unaulizia mwanamke wa kawaida mwenye utulivu haiba na akili versus mwanamke mwenye mimatako na kibri lakini ambaye ukipita nae mtaani usafiwa una bonge la mwanamke???

Embu chukua huyo wakawaida mwenyew akili ila lenye matako gonga gonga hlf lifanye mchepuko au waachie vijana waendelee kuligonga..

Sasa marafiki sababu wapo neutral wanaweza kujua


Watu wako wa karibu wanaweza wasijue moja kwa moja chaguo lako sahihi lkn niamini mimi mwanamke wa kugonga nakuacha uwaga wanaonekana kabisa wazi wazi sema tukipewa uchi na ile kampani yake na sifa za masela basi unaona ndo sahihi lkn chaguo sahihi nalo tunaliona mapemaaa sema tunayaogopa sababu ya kuogopa serious relationship na vile wanawake wakueleweka hawapendi drama nyingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom