Teh teh usije kuwa unamiliki 7800 tatuNdugu yangu unamuuliza mmiliki wa V8 Kama 3 hivi uwezo wa kununua terrios kid?
Kwahiyo hizo v8 3 zinafanya kazi gani kwako mkuu......mtu mwenye kumiliki V8 tatu hawezi kutafuta mke kwenye jf au fb.......kama mtaa wetu kuna jama moja ana bajaj tatu nyuma kaandika bombadia air,Ndugu yangu unamuuliza mmiliki wa V8 Kama 3 hivi uwezo wa kununua terrios kid?
Unafikiri mke wa pili anapatikana kama huna pesa ...
Je pesa unazo?