Sasa hivi tuna wahitaji wapya mtaani wenye shida zisizo isha omba omba.
Hawa ni mabinti wadogo kwa wakubwa. Wamejishusha thamani sasa hivi huwezi ukadunu nae tena maana yake anageuka kikwazo...
Nina Jirani yangu tumepanga wote hapa Uswahilini Tandale kwa Tumbo ( barabara Kuu ya Mafuriko ) na tupo Jirani kwa Vyumba vyetu kufuatana.
Yeye na Mkewe ( Shemeji ) tunaishi vizuri na...
Maneno ya Matusi
Maneno kama “mjinga” au “mpumbavu” yasitumike kwa mwenza wako hata kama yana ukweli ndani yake. Japo ujinga ni kutofahamu kitu fulani lakini neno hili linaleta majeraha kama...
Dalili hizi nimezitoa katika mahubiri ya mtumishi aitwaye Arnold Kisanga wa Kilimanjaro katika moja ya masomo aliyoyatoa kupitia Radio Baraka FM 107.7 tarehe 19/02/2021;
Dalili za kuwa na jini...
Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa
Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo...
Amani itawale kwenu nyote Wadau
Nimeiokota pahala hii issue then nimeona niilete kwenu wadada kama topic. Hivi ni kweli nyie wadada huwa hamfuti namba ya simu haraka na kusahau. Regardless wewe...
Leo nimeulizwa hili na huyu mtoto wangu mkubwa.
Eti, wanaume wa leo hawataki mke ambaye ni mama wa nyumbani (asiye na shughuli ya kipato).
Wakati huo huo, wengi wao hawataki mke mwenye kipato...
Habari wanajanvi wenzangu, yaani hapa nilipo yani kila nikifikiria nimeachwa naona ndoto, akili haitaki kukubali lakini jana ndio nimejua nimeachwa kweli.
Sasa naanzaje kuubali ukweli kuwa niko...
Habari gani Wakuu
Aisee mimi kila siku nimekuwa najiuliza maswali memgi kwanini nioe yaani kwanini ? Wanaojiita Wachungaji wanatuaminisha oooh ndoa ni tamu oooh imekaa hivi ooh imekaa pale!
Hebu...
Rafiki yangu alipata eneo la nusu heka, aliamua kujenga nyumba ya nyuma ya vyumba vitatu na kimoja ni en-suite. Kwa kweli sikumuelewa, ingawa vyumba viwili aliwapa dada na kaka wa kazi na ensuite...
Katika uzoefu wangu wa sleepover hizi over the years nimenotice wanaume mnapenda baridi Sana yaani Full ac au mfeni usiku kucha.
Sipendi joto ila sipendi baridi. Kuna mchepuko huo kidogo usiku...
Mahabuba, Mpenz, La Aziz,
My Love, My Heartbeat, My Handsome,
My Best Best Friend, My Soulmate,
My Man, My King, My One and Only...
My Pumpkin, My Darling, My Breath...
Most of All, My...
Habari kaka zangu na dada zangu katika jukwaa hili,
Nahtaji ushauri, nimekuwa na mpenzi wangu ambaye mara nyingi anakuwa muongo sana hataki kuweka mambo yake wazi, japo sio sana. Sasa hili ndio...
Habari wana bodi,
Niende moja kwa moja kwenye maada tajwa hapo juu, ni miezi takribani 3 tangu aliyekuwa mpenzi wangu (x-girlfriend) aliponiacha kwa kunitamka kuwa "kuanzia leo mimi na wewe basi"...
Binafsi ntazingatia yafuatayo:
Je, nimelipa mahali kwao?
Je, mimi ninachepuka?
Je, mahali ni kiasi gani nilizotoa
Je, tumezaa watoto?
Je, tuna mali kiasi gani?
Je, huyo bwana namfahamu?
NB...
Mshikaji alikuwa na mwanamke kwa muda kama mwaka hivi. Mwanamke anaenda analala na kusepa asubuh kwa mama yake
Yule dada wengi walikuwa wanajua tabia zake za kurukaruka. Wengi walikuwa wanasema...
Habari wadau,
Moja kati ya mada muhimu za kuweka mezani siku hizi ni kuhusu uhusiano kati ya watoto na Baba. Imekuwa kawaida kwa mama kupewa kipaumbele kuanzia ngazi ya familia mpaka jamii.
Kuna...
Naomba nikumbushie hapo nyuma kidogo nili post ombi la kutafuta mwenza mwenye nia nashukuru walijitokeza baadhi ya wadada lkn nikapata safari ya ghafla mkoani niliendelea kwasiliana na kuzungumza...
Unakutana na msichana mrembo anavutia kwa muonekano na angalau mnaendana mfano dini etc. Unaamua kuanzisha uhusiano nae kwa malengo ya kuwa mwenzio wa maisha (Mke).
Sasa kidogo anaanza kukuambia...
Wana JF,
Kama kuna kitu ulichowahi kufanyiwa utotoni kikakuathiri hadi leo unaweza kisema hapa ili kukuza uelewa kwa jamii, wazazi na wazazi watarajiwa.
Naanza na mimi: Nilipokuwa shule ya...