1. Kwanza niwe mpole na mvumilivu na kukubaliana na hali halisi kuwa nimeachwa.
2. Pili nivute subra kwa muda flani kwanza upite na akili yangu ikae sawa
3. Sijui nafanyaje
Uzi wa namna hii, nauandika leo kwa mara ya pili...
Nikweli unamtunza, unamlisha, unamvisha n.k, lkn kumbuka, Nayeye anaouwezo wa kujifanyia hayo .
Usimchukulie Poa, Usimdharau akajua...
Habari.
Mimi na mpenzi wangu tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitano kama boyfriend na girlfriend (sio uchumba).
Nikiri kwamba tumekuwa na kutokuelewana kama ilivyo kawaida ya...
Wanaume nyie ndio wa kutoa huduma zote kwetu na familia na mnaujua uzito wa mzigo mnaoubeba sawasawa. Hebu tusaidieni uzoefu na mawazo tusijeyaharibu mambo huku
Wanawake kupendana buana
Habari za humu wana MMU,
Mimi ni memba mzoefu humu hivyo nimeamua kuja na id mpya ili niweze kueleza hili jambo kwa uwazi zaidi.
Kwanza natambua kuna watu watakuja na kejeli,dharau na kutaka...
Habar za J2 wana MMU.
Niende moja kwa moja kwenye mada ambayo kiukweli iliniacha kwenye situation....niseme tu nliangukia kweny upendo kwa binti mmoja ambaye tulikutana mwaka 2019, kipindi hicho...
Mambo vipi ndugu zangu?
Ama baada ya salamu, ngoja sasa nielekee katika mada husika.
Kwanza kabla ya yote ningependa ieleweke kuwa mimi ni mume wa mtu, lakini kwa sasa mke wangu kasafiri...
Mara nyingi nimeshuhudia mabifu kati ya mwali na mama mkwe na mawifi, ukiangalia hakuna sababu za msingi za mabifu haya.
Yamenikuta ndo mana nasema hivyo.Ukiangalia nampenda wife na mama nampenda...
Katika kipindi cha leo "Mahusiano katika familia" kinachorushwa na Radio One, kulikuwa na hiyo mada. Katika maongezi na majadiliano yaliyojiri imebainika kuwa wote wawili (me/ke) ni waathirika wa...
Salaam Wapenzi wangu,
Kuna wadudu wadogo wanachimba shimo sehemu penye mchanga, inadaiwa ukimchukua ukamung'atisha kwenye chuchu la titi, inarutubisha na kufanya ziwa liwe kubwa la kupendeza...
Habari za jumapili.
Katika kuzunguka zangu mtandaoni nikakutana na hii comment ya mdada tena mke wa mtu kwa mujibu wa maelezo yake nanukuu.
"kandake_beauty_tz Nina ndoa ya miaka 12 sijawahi...
Kwema?
Ni hivi, nipo ndani ya uhusiano kwa miaka mitatu sasa. Tangu nianze uhusiano mwenza wangu amekuwa huru na muwazi sana kwangu. Uwazi naouzungumzia ni kwamba, kila aliyekuwa akimtongoza...
Jamani jamani, kuna mdada kaachana na boyfriend wake, hata mwezi haujapita rafiki wa yule jamaa akaanza kumtongoza, pamba moto hatari, demu akamuambia siwezi toka na Wewe kwa sababu wewe na ex...
Jamani kuolewa raha sana ila huyu mtu akianza maneno umekufa.
1. Jiko lake
2. Mume wako (mtoto ni wake) Leo amekuja mie nawatoto tunawaza kufunga vyumba vyetu nakuhamia kwa mama yangu abaki kwa...
Habari wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muungano
Mimi ni mwanamke wa miaka 27,
Sina mtoto
ninaishi Dar es Salaam.
Nahitaji mwanaume serious kwa ajili ya familia.
Miaka awe na 30 na kuendelea...
Hii Kitu nilitaka kuipost hapa miezi kadhaa iliyopita sema nikasahau, leo kuna jamaa kanipigia anataka nimtumie dolali za mchango wa harusi ya binamu yake ambaye hata simjui wala sijawahi msikia...
Habari wana JF.
Leo kuna vitu ilinibidi niwaeleze wale wanaume wenzangu wenye akili za miaka ya tisini maana huwa wanapata shida sana kusaivu katika mapenzi kutokana na mabadiliko ya kitamaduni...
Mimi ni mwaname mwenye umri wa miaka 38 ni muislamu.
1. Awe muislamu
2.umri kuanzia miaka39 hadi45
3.asiwe na mtoto
4.Awe mvumilivu na ukubali kuishi na mtu hohe Hahe ila mwenye kutafuta.
5. Elimu...
Aisee sio jambo jepesi kulipokea pale unapokataliwa na mtu ambae umevutiwa nae, iwe kiurafiki, kimapenzi, uchumba hata ndoa.
Kuna wanao tafuta wapenzi, marafiki na wanao hitaji ndoa, lakini kuna...
So juzi TULIKUWA Juliana na marafkizangu wamenitoa Early Birthday .... Huwa sipendi kwenda Juliana maana Juliana ya skuhizi sio kama ya zamani, Ile ya zamani ilikuwa classy, cool, nice, skuhizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.