thewajibu
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 236
- 304
Wana JF,
Kama kuna kitu ulichowahi kufanyiwa utotoni kikakuathiri hadi leo unaweza kisema hapa ili kukuza uelewa kwa jamii, wazazi na wazazi watarajiwa.
Naanza na mimi: Nilipokuwa shule ya msingi nilikuwa napenda mpira wa miguu siku moja tukaenda kucheza mechi ya kirafiki shule fulani kwa kuwa nilikuwa napenda mpira nilitembea kwa miguu hadi mahali husika, mchezo ulipoisha nilirudi nyumbani bila tatizo ilikuwa Ijumaa kesho yake pindi nasalimia wakubwa nilikamatwa na kupewa motisha hasi ya viboko visivyo na idadi vya miguuni.
Ilinichukuwa muda kutembea vizuri kuanzia hapo hadi leo si shabiki wala mpenzi wa mpira, nilichobakiza ni kuangalia mapango na mapambo ya makampuni yaliyo uwanjani.
Angalia usiue kipaji cha mwanao cha kutengeneza Bombadia ukalitia hasara Taifa ya kununua ndege nje.