Kuna uwezekano wa kujua idadi ya wanaume ambao mwanamke alishiriki nao ngono?

Testar

JF-Expert Member
May 30, 2015
7,461
12,216
Tafiti nyingi za kisayansi zimefanyika na zingine zinaendelea kufanyika.

Kwa sasa kuna uwezekano mkubwa sana wa kujua idadi ya wanaume walioshiriki ngono na mwanamke.
Mwanamke anaposhiriki ngono na mwanaume kwa njia yoyote ile [Vaginally, Orally,& Anally] na sehemu ya mwili wake kugusana na manii za mwanaume, mbegu za kiume zitaingia kwenye damu ya mwanamke na kupasuka kisha kuweka Y-Chromosome kwenye damu ya mwanamke.

Kumbuka mwanamke ana XX na mwanaume ana XY, mbegu za kiume zikiingia kwa KE, XY za mwanaume zitabakia kwenye damu ya mwanamke kwa maisha yake yote.

Kila mwanaume anazo XY ambazo ni tofauti na mtu yeyote duniani, kwahiyo zitakapoingia kwa mwanamke zitakuwa tofauti ingawa zote zitakuwepo, maisha yake yote.

Kutaka kujua mwanamke ameshiriki ngono na wanaume wangapi, unachukua blood sample kutoka kwa mwanamke kisha unahesabu Y-chromosome zilizopo[Kuna mashine ya ku detect na kuhesabu Y zote zilizopo kwenye damu], then Idadi ya Y itakuwa sawa na idadi ya wanaume waliomgonga huyo mwanamke.

NB nyie wanawake wa ''you are my second Boyfriend'' mwanze kusema ukweli sasa.
 
Hivi ukijua alitembea na wanaume 27 kwani ndio inakusaidia nini?
Mi naona kikubwa cha msingi mpime vvu na homa ya ini.
 
sasa huo utafiti utawezaje kujua hadi idadi ya wale wanaume waliofanya nae ngono ila walikojolea nje?
Kukojolea nje hakuzui mbegu za kiume kugusana na mwanamke.
Kuna wakati mwingine hata kabala ya kupiz, mbegu nyingine zinatoka.
 
Kwahyo hzi X &Y si ndo zile tunazitafutaga kwenye mathematics miaka mingi si uwaambie zipo huku?
 
Acha upotevu....mbegu haiwez ingia kwa damu wewe...damu ina content zake na concentrations zake....acha upotevu kabisa na kudanganya....
Hivi sijasema kwamba zikiingia zitapasuka na kuweka Y-chromosome kwenye damu ya mwanamke?
Au wewe unafikiri sperm zitakuwa zinaogelea kwenye damu?
 
Hivi sijasema kwamba zikiingia zitapasuka na kuweka Y-chromosome kwenye damu ya mwanamke?
Au wewe unafikiri sperm zitakuwa zinaogelea kwenye damu?
Toa scientif paper ku prove....sio ulete website link hapa.
Usitoe taarifa za ki science kienyeji
 
Sasa mkishajua ndo mtafanyaje?
Itaweza kutumika kama njia ya kuzuia michepuko,....mfano January ulikuwa nazo 10, December ukawa nazo 15, mumeo atajua mwaka huu umechepuka kwa wanaume watano......nimefikiria tu maana si kila mtu anapenda kufanya hayo.
 
Toa scientif paper ku prove....sio ulete website link hapa.
Usitoe taarifa za ki science kienyeji
Nenda google uone jinsi hizi tafiti zilivyotapakaa na siyo kuleta mabishano yasiyo na msingi JF.
 
Back
Top Bottom