Demu kanikataa live?

Demu kanikataa live?

Yaping Xi Laan

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,332
Reaction score
2,618
Nimetokwa na machoz, nkikumbuka venye dem huyu nlivyojitoa kwake.
kwel n machungu na nimeumia sana,nlijinyima iliapate,ila amesema hanitak mm sio ya type yake,saiv yupo na mjuba mwenye mapen ten tajir

ila mm wacha niendelee kula miayo,maan maj yakimwagika haizolek.ila ni cha jifunza somo,wacha nikamat charles kitwanga
 
Muache karma itamtafuna tu
 
Mkuu umebugia konyagi ngapi hadi muda huu? Pumzika kesho nayo siku
 
Back
Top Bottom