Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sijui ni coincidence au lah ila nimenotice kuna watu huwa naelewana nao sana. Sijawai kudate wanaume wengi seriously ila sometimes kuna ile unajoke tu haupo serious wanawake wenzangu watanielewa...
6 Reactions
86 Replies
11K Views
Sikuwahi kupenda hivi kama ninavyokupenda wewe. Hisia zangu juu yako hazipimiki Kama usivyoweza kuupima ulimwengu!,umekuwa ukitikisa hisia zangu pindi nisikiapo sauti yako tamu. Hakika nimepata...
7 Reactions
47 Replies
5K Views
Wakuu naomba msaada,maana leo nimepata drama ambayo sijawahi kuipata,nitaandika inshort tu,actual nilikuwa na mchumba niseme ambayo hivi mwezi wa saba narudi tuliplan maisha na kwenda kwa...
6 Reactions
150 Replies
11K Views
Habarini wadau.Nisipoteze muda, nachukua nafasi hii kuweka hapa rasmi, mke mwema anahitajika. Umri wa mume mtarajiwa Ni 36 yrs, mkristo Safi, Elimu Ni graduate..., Mwajiriwa idara X. Mwanamke...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Naamini Jumapili iko salama kwa kila member na Kama hali haipo hivyo,ni changamoto za maisha tu,amini mambo yatakuwa sawa. Kisa changu ni kama ifuatavyo hapa chini: Mwaka 2015 nilihamia mkoa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mimi nashangaa tu ndio mnaita mapenzi ya kweli? Mimi naona kutumika vibaya tu. Mtu unaishi vipi na mwanamme hana maendeleo, hata mipango yake kuhusu maisha hovyo kila anachofanya kina fail. Kuna...
3 Reactions
92 Replies
9K Views
Habari ya leo wana jukwaa wenzangu, Mke wangu hataki kunipa tunda hata niki muuliza kila siku anakuwa na sababu tofauti mara nime choka, mara leo naumwa nashindwa kuelewa kwanini ananifanyia hivyo...
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Ukiwa ni binadamu mwenye akili timamu, Mwanaume unayejiamini hasa, unaweza vipi kwenda Supermarket au Sokoni na kutoa pesa mfukoni tena kwa mbwe mbwe nyingi na mikogo kibao na kununua Apple ambalo...
31 Reactions
170 Replies
60K Views
Wakuu tangu nianze kuishi na huyu bibie amani imepungua ndani kisa ni Mimi kunywa pombe, kabla alijuwa na alikuwa ananiona nakunywa hadi tukaanza kuishi pamoja. Simtukani, simfanyii fujo...
8 Reactions
99 Replies
8K Views
Kuna MTU nilikuwa nawasiliana naye kipindi cha nyuma miaka mitatu iliyopita, ila sasa hapokei simu wala kujibu meseji!!! Hata namba ngeni hapokei!!! Nimeangalia usajili wake bado ni wake. Namba...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
Habari wakuu, Leo ngoja niwashirikishe jambo hili lililonitokea miaka kadhaa nyuma. Mwaka 2008 nilipomaliza kidato cha 6 nikiwa katika kipindi cha kusubiria kujiunga na chuo nilikutana na binti...
4 Reactions
56 Replies
7K Views
Wote tunafahamu kuwa suala la ndoa ni jambo la heshima na baraka katika misingi ya kijamii na kiimani. Swala la kufanya ndoa kama sherehe kubwa liko katika maamuzi na mapenzi ya wanandoa wenyewe...
37 Reactions
270 Replies
64K Views
Natafuta mke mwema anayejitambua Umri kuanzia miaka 25-33. Mawasiliano WhatsApp 0783432534 au 0620555694 Very welcome.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
BARUA YA UCHUMBA; SABABU 30 ZILIZONIFANYA NIMPOSE BINTI YENU. Kwa Mkono wa, Robert Heriel Taikon , kijana wenu, mwana wa Tibeli, kutoka nyota ya Jibi, Kuhani katika Hekalu Jeusi. Na, Kwa Baba...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari zenu wadau, Leo nimejitokeza kidogo kwa Mara ya kwanza nilikuwa na swali ambalo ningependa ku share nanyi na nipate maoni yenu. Eti ni kwanini wazazi hawapendi mtoto wao (wakiume) waoe...
3 Reactions
205 Replies
22K Views
Asikwambie mtu, yule crush wa utotoni hasa mara nyingi inakua shule ya msingi ni mapenzi ambayo yanavuruga sana hasa ukizingatia mara nyingi mtu mabae unampenda anakua hana ata habari au aanajua...
30 Reactions
230 Replies
24K Views
Ninaitwa Alfred James ninaishi Arusha kikazi nimeajiriwa serikalini ila mimi ni mwenyeji wa kanda ya ziwa mkoa wa Mara wilaya ya Bunda Umri wangu miaka 32 nina watoto wawili wote wa kiume...
2 Reactions
2 Replies
958 Views
Wakuu salaam, Napenda kutumia fursa hii kumtukuza Mungu na pia kushare nanyi furaha niliyonayo moyoni mwangu kwa kuwa Mungu amenitendea mambo makuu sana. Ndugu zangu, katika maisha ya ujana...
23 Reactions
68 Replies
8K Views
Habari wana jamvi, kuna mdada nipo nae kwenye mahusiano na ananipenda sana na posa nimesha peleka kwao ila kuna vitu nimegundua ambavyo vinaweza leta shida baadae hivyo nataka kumuacha nitumie...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Kiukweli mi nakosa raha kabisa nashindwa kuelewa yaani wapenzi wangu wote ambao nimeshawahi kuwa nao wote wameolewa. Sina X hata mmoja ambaye yuko single na wanaolewa kwa ndoa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…