Unawezaje kununua tunda lililong'atwa?

Unawezaje kununua tunda lililong'atwa?

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
4,718
Reaction score
6,979
Ukiwa ni binadamu mwenye akili timamu, Mwanaume unayejiamini hasa, unaweza vipi kwenda Supermarket au Sokoni na kutoa pesa mfukoni tena kwa mbwe mbwe nyingi na mikogo kibao na kununua Apple ambalo limeshang'atwa na mtu mwingine??

Eaten Apple.jpg

Mara nyingi sana tumesikia visa mbali mbali vya Wanawake walioolewa kuendelea kufanya mapenzi na ex-boyfriends zao. Hii sio ngeni, imetokea na itaendelea kutokea. Issue hapa ni kwanini mtu utoe fedha zako na kuoa mwanamke used? Kwanini uhangaike kuoa mtumba?

Mungu alipomuumba Mwanamke na kumuwekea BIKIRA (Hymen), hakukosea na mimi naamini kabisa alikuwa na sababu maalumu ya kufanya hivyo. Bikira inapovunjwa huwa kuna kiasi kidogo cha damu kinatoka na pia Mwanamke husika huwa anasikia maumivu kiasi kwamba hupelekea kwa wengine kupiga ukelele fulani hivi, na wengine huugulia maumivu hata wiki nzima!

Damu hii inayotoka baada ya bikira kuvunjwa huwa ni agano kati ya Mwanaume na Mwanamke. Ndiyo maana ni rahisi sana kwa Mwanamke kusahau vyote katika maisha yake, lakini kamwe hawezi kumsahau Mwanaume aliyemvunja bikira yake. Na ndiyo maana kwetu sisi Wakristo imeandikwa; "usimwache Mke wa ujana wako". Huna ruhusa ya kumwacha sababu umeingia naye agano la damu, tena damu yake mwenyewe. Hii imepelekea Wanawake wengi kuwa kwenye ndoa zao, lakini vichwani mwao wanakuwa wana wawaza Wanaume wao waliowavunja bikira.

Tena asikudanganye mtu, ni rahisi sana kwa Mwanamke kulala na Mwanaume wake wa zamani hata kama itapita miaka 70, wakikutana, na jamaa akiomba tunda atapewa tu!

Sasa mimi nawauliza Wanaume wenzangu kwanini tunahangaika kuoa Wanawake ambao wameshatumika?? Kama huwezi kutoa pesa yako na kununua Apple au Embe ambalo limeng'atwa, kwanini uingie gharama za harusi na kuoa Mwanamke used??????

Najua kuna watu watasema eti bikira zingine huwa zinatoka kwenye michezo; sawa labda hilo linawezekana, lakini kuna tofauti kubwa sana kati ya Hymen iliyotoka kwa kuingiliwa na iliyotoka kwa namna nyingine.

Jiulize tu hili swali kichwani mwako, hivi ni kwanini Wafalme huoa Wasichana bikira??? Ipo sababu tena ya msingi sana tu.Siyo dhambi kuoa Mwanamke aliyetumika, lakini inapendeza sana kuoa Msichana bikira. Ukioa Msichana bikira, unakuwa umejiepusha na mikosi na mabalaa ya watu wengine.

Jamii ya sasa hivi imejaa uzinzi, uasherati na ngono za kila aina. Hivi vitu vyote ni machukizo kwa MUNGU. Fahamuni kwamba tendo la ngono huwa linaambatana sana na mikosi na mabalaa mbali mbali. Ndiyo maana dhambi ya zinaa inapingwa sana kwenye Biblia. Mtume Paulo alisema katika dhambi zote anazofanya mwanadamu, zote huwa zinakuwa nje ya mwili wake, isipokuwa zinaa. Dhambi hii huambatana na mwili wa mtu huyo. Hata kama utatubu, lakini lazima kuna siku utailipia ukiwa hapa hapa dunia. Soma kuhusu Mfalme Daudi ndiyo utajua.

MUNGU anatupenda sana ndiyo maana amekataza zinaa ili atuepushe na mikosi inayoambatana na zinaa na uasherati. Kuna watu hufikiri MUNGU, alikataza tu zinaa bila sababu ya msingi. Alikataza kwa faida yetu sisi wenyewe ili tusipate mikosi inayoambatana na zinaa. MUNGU hapendi kuona tunateseka na kupata shida. Ndiyo kisa kila mtoto wa kike anapozaliwa anakuwa na bikira. Na ndiyo maana kila Mwanamume anapaswa kuwa na Mke wake mwenyewe, pasipo ku-share.

Angalizo:
Wadada mtanisamehe na wale wote mliooa "used", mtanisamehe, lakini ukweli ndiyo huo. Matatizo kwenye familia zetu hayaishi sababu tumeshikamana na dhambi ya zinaa kwenye miili yetu. Kuna watu wengi sana hupata mabalaa kwenye maisha na hawajui mikosi hii imetoka wapi. Ipo siri kubwa sana kwenye zinaa.

By the way, sijasema muwaache wake zenu kama mlioa used.
 
Wewe ulioa bikira? Au wakati unaoa wewe ulikuwa bikira? This is a misguided idea. Cherry picked Bible verses and put out of context. Ukiwa na mawazo mgando ya namna hii unafikiri wale watu ambao wako kwenye ndoa na waaminifu lakini hawako katika mtazamo wako of 'what is correct' watajisikiaje? Au watu ambao wanatarajia kuingia katika ndoa watahisije?
 
Hakuna sehemu inaelezea Bikra ya Mwanaume!
 
Trump tukana hii mijitu isiyojielewa inakotoka na inakoenda
 
That's how human beings have been used to.Mara nyingi, tunapenda kuzungumza yanayowagusa wengine kuliko yanayotugusa wenyewe.
Hapa mleta uzi anaweza kuwa na hoja,lakini kwa nini amewaongelea wanawake tu? Kwani hakuna akina sisi(wanaume) used?
Jaribu kuondoa boriti kwenye jicho lako kabla ya kuondoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
 
Wewe ulioa bikira? Au wakati unaoa wewe ulikuwa bikira? This is a misguided idea. Cherry picked Bible verses and put out of context. Ukiwa na mawazo mgando ya namna hii unafikiri wale watu ambao wako kwenye ndoa na waaminifu lakini hawako katika mtazamo wako of 'what is correct' watajisikiaje? Au watu ambao wanatarajia kuingia katika ndoa watahisije?
anachangamsha genge tu huyu mtoa mada
 
Wewe ulioa bikira? Au wakati unaoa wewe ulikuwa bikira? This is a misguided idea. Cherry picked Bible verses and put out of context. Ukiwa na mawazo mgando ya namna hii unafikiri wale watu ambao wako kwenye ndoa na waaminifu lakini hawako katika mtazamo wako of 'what is correct' watajisikiaje? Au watu ambao wanatarajia kuingia katika ndoa watahisije?
amepagawa huyu mleta mada
 
That's how human beings have been used to.Mara nyingi, tunapenda kuzungumza yanayowagusa wengine kuliko yanayotugusa wenyewe.
Hapa mleta uzi anaweza kuwa na hoja,lakini kwa nini amewaongelea wanawake tu? Kwani hakuna akina sisi(wanaume) used?
Jaribu kuondoa boriti kwenye jicho lako kabla ya kuondoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
Mkuu wewe ni Used? Polee
 
Tatizo hapa ni wengi wenu hamjausoma huu uzi mpaka mwisho. Mmekurupuka tu na kuanza kureply. Someni mpaka mwisho ndiyo mtaelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom