Tata ya bana
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 304
- 369
Kuna MTU nilikuwa nawasiliana naye kipindi cha nyuma miaka mitatu iliyopita, ila sasa hapokei simu wala kujibu meseji!!! Hata namba ngeni hapokei!!! Nimeangalia usajili wake bado ni wake. Namba yake inaita masaa 24, simdai wala hanidai je wajuzi wa mtandao mnaniambiaje? NB namtafuta huyu MTU kwa sababu alikuwa msaada kwenye mashamba Yangu.