Pombe inaharibu mahusiano yangu

Hendisamu

JF-Expert Member
May 9, 2019
319
500
Wakuu tangu nianze kuishi na huyu bibie amani imepungua ndani kisa ni Mimi kunywa pombe, kabla alijuwa na alikuwa ananiona nakunywa hadi tukaanza kuishi pamoja.

Simtukani, simfanyii fujo, matumizi nampa, every thing nahudumia ila tu akiona nimelamba gambe anamind sana.

Wazoefu wa hizi mambo nifanyeje maana naona kuacha kabisa nimeshindwa nimeshatumia dawa za kienyeji ili kuacha lakini zinagonga mwamba sioni matokeo chanya

Ni hayo tu wakuu. Nategemea ushauri wenu ninusuru mahusino yangu.
 

Ed Kawiche

JF-Expert Member
May 28, 2020
1,033
2,000
JAMAAA UKIACHANA NA WACHAGA.


WANAWAKE WA MAKABILA YALOBAKI, HAWAPENDI KUA NA MWANAUME
MLEVI WA POMBE.
MVUTA SIGARA.Alafu sasa, kwann usigeuze ulevi pombe, uuhamishie kwenye mbunye yake ndo kiwe kilevi chako?
sahihi kabisa... hiki ndicho nlichokimaanisha
 

Hendisamu

JF-Expert Member
May 9, 2019
319
500
Kuna Umri ukifika unaachana na na UJANA ili mambo yaende.


Mwanamke wako anakutaka uwe Mwanaume Bora ambaye utakua mfano kwa watoto wako.

Hataki baadae watoto wakuone baba ni chapombe.


Kwa sasa hamna watoto nalabda upo kwa age ya 28-35 huwez ona tatizo.

Subiri ukishagonga 40 , ndo utajua kwann mkeo alikua anakukataza .
Kuna kitu hapa kikubwa sana.
 

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
17,423
2,000
Aiseee unadhani kubadilika ni simple mkuu.
Ohoooo ACHA kujiendekeza, kabla Pombe haijakushinda.


Embu jitahidi kubadilika kwaajili yako. Nayake na watoto wako baadae.


Amini nakuambia, huyo mwanamke wakat ule anakukubalia nisababu alikua hajawa na mawazo yakua Mama wa nyumba ,mama watoto.

Ila kwa sasa amekua nayo.


Lkn pia ngoja nikupe ushauri mdogo tu utanishukuru

Ukiwa umelewa mawazo na K ya mkeo ynakua hayapo, yakiwepo utapiga ili mradi. Ukipiga ilimradi humfikishi popote..

Hamna mlevi wa Pombe mwenye nguvu za kiume.


Embu jitahidi mkuu, achana na mazingira shawishi, naamini unaweza, rejea kwa ushauri wa mkeo.


USHAURI WA MAMA YAKO, NA USHAURI WA MKEO ASILIMIA KUBWA HUWA NI KWAAJILI YA FAIDA YAKO MWENYEWE.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom