Ekyoma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,177
- 2,803
Ndugu zangu,
Nimekuwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kama miezi miwili mwanzo sikujua kama pacha mpaka aliponitambulisha kwa pacha mwenzie wanafanana sana. Tatizo wamenigeuza (sex machine) kila wakija wanataka nifanye nao mapenzi wote.
Nimejitahidi nimeshindwa wataniua siku si zangu maana kazi yao pevu yani nikitoka pale nakua hoi hata darasani siendi, mwili unaishiwa nguvu nilijaribu kumwambia msichana wangu kuwa anipendi kama angekua ananipenda asingekubali nimpige pacha wake, akasema hapendi ila hawezi kumbania ndugu yake kwanu ananipenda pia.
Wadau, nipe mawazo jinsi ya kujichomoa kwenye huu utumwa wa ngono nibaki na pacha mmoja.