Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanamke mmoja nchini Malaysia ameamua kuomba talaka kumkimbia mume wake ambaye anapenda sana kufanya mapenzi akimlazimisha kufanya mapenzi zaidi ya mara 10 kila siku...
5 Reactions
55 Replies
15K Views
Naweza kusema kweli huwa nina mapenzi ya kweli katika mahusiano, nasema hivi maana huwa nikimpenda mwanamke katika mahusiano basi huwa namaanisha ila shida huja pale ambapo nahisi nimepata...
5 Reactions
45 Replies
7K Views
Habari za weekend wana MMU. mwenzenu Leo yamenikuta makubwa. Nina rafiki yangu wa kiume ni just a normal friend,basi tangu jana akawa ananisisitiza sana tuonane kwa ajili ya business issues, na...
6 Reactions
137 Replies
17K Views
Asalaam aleykum... Tumsifu yesu kristo... Mwana kondoo ameshinda... Ama baada ya salamu Mimi ni kijana wa kitanzania umri miaka 24 ni Mwajiriwa wa Selikari (Mtumishi wa Umma). Nimekuja kwenu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watu wa humu hasa wanaume mmjue kwamba mtu akitoa post au akikoment jamboo sio anawahitaji . Sijui kwa wengine ila kwangu mimi HAPANA siitaji mtu wala nini. Shida ya watu wa humu ni mtu tu yupo...
36 Reactions
356 Replies
24K Views
Miaka yangu 29 Makazi Pwani Muislam Nimtakaye Awe kuanzia na miaka 31 Awe na kazi Muislam Atokee Mkoa ya karibu na Pwani au Pwani. NB: Awe tayari kuoa kabla ya mwaka huu kuisha kama...
19 Reactions
53 Replies
5K Views
Miaka ya karibuni Kuna kundi la Wanawake ambao wanaojiheshimu na hawajaolewa wanalalamika kwamba Wanawake ambao hawajatulia ndo wanaolewa Ukweli ni kwamba Wanawake ambao wanaonekana hawajatulia...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Mada iko nyepesi kabisa vijana wakiume tukimbilieni darasa la Saba au kidato cha nne aliyeshindwa Kwani wengi wao ndo wake sahihi ukimkuta mwenye dini. Msichana wa chuo kikuu anaamini ndo ni...
23 Reactions
109 Replies
11K Views
Naweza nikajiita loser. Niliutumia ujana wangu vibaya sana. Nilijiona mimi ndio mimi. Sikutaka kuwa na mahusiano ya kudumu. Nilipenda kupita bila kujali hisia za wale ninaowahitaji. Nilijiona...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Salam, Kuna app locker (kificha faragha) naweza kuita hivyo, kimenihadaa na kuniaminisha kuwa naweza kuficha SMS na Chats lakini kimeniumbua na kusababisha mtafaruku ndani ya nyumba baada ya wife...
10 Reactions
108 Replies
11K Views
Natumai hamjambo wakuu Wakuu hili jambo limekuwa likinishangaza sana, yaani kijana wa kiume mwenye akili darasani hushobokewa sana na wadada but mabinti wenye akili darasani huogopwa na...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Habari zenu kwa ujumla, Kuna jambo nimeligundua wapenzi najua humu kuna wajuaji zaidi yangu mnisaidie mawazo yenu. Ni hivi tokea nianze mahusiano na ex wangu cha ajabu sijawahi kutembea na...
2 Reactions
63 Replies
8K Views
Wanajukwaa, Moja ya mambo yanayoweza kukuua ni hili la kufumania mpenzi au mkeo na hasa akiwa katikatikati ya sita kwa sita na jamaa mwingine. Mliowahi kufumania leteni uzoefu wenu na nini cha...
3 Reactions
49 Replies
9K Views
Kuna wanawake kama wanane hivi ambao nawafahamu kwa karibu ambao wana sifa zote za kuolewa haraka but wapo wapo tu... Na wote huwa nasikia wakilalamika kuwa wanaume ambao ni husband material...
2 Reactions
77 Replies
8K Views
Wakuu nadhani shetani yupo kazini, mzee wangu. Anafanya kazi mkoani mimi nipo mkoa mwingine anakuja mara moja au 2 kwa mwezi. Tuna miaka 18 katika ndoa sijawahi kuchepuka, mwanzoni nilikuwa...
9 Reactions
74 Replies
7K Views
Ujue haya mambo haya... Boss wangu mpya ni mmama flan hiv..single mama nadhan sjui vizur..ngoja nichunguze..ila havai pete yoyote Kiufup ana dalili zote za kunipenda huyu mama..ila ndo dah...
16 Reactions
143 Replies
13K Views
Habari wakuu, mimi sio mgeni jamiiforums mara nyingi hapenda tu kuangalia nyuzi za watu na kuchangia inapobidi.Leo nimeona niwashirikishe yaliyonisibu Nipo kwenye ndoa zaidi ya mwaka sasa na kati...
21 Reactions
136 Replies
13K Views
Napofanyia kazi hapa kijiweni Kuna njia inayoelekea sokoni Sasa kila siku asubuhi mida ya saa tatu mpk saa sita mchana wanawake hasa wa Rika la Kati wengine wameolewa hupita huku wakiwa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…