Mke Amkimbia Mume Anayependa Kufanya Mapenzi Zaidi ya Mara 10 Kila Siku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke Amkimbia Mume Anayependa Kufanya Mapenzi Zaidi ya Mara 10 Kila Siku

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MziziMkavu, Aug 23, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Mwanamke mmoja nchini Malaysia ameamua kuomba talaka kumkimbia mume wake ambaye anapenda sana kufanya mapenzi akimlazimisha kufanya mapenzi zaidi ya mara 10 kila siku. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 18 ambaye aliolewa hivi karibuni ameamua kumkimbia mumewe na kudai talaka baada ya kuchoka kufanya mapenzi na mumewe zaidi ya mara 10 kila siku.

  Mwanamke huyo anadai mumewe atakuwa anatumia uchawi au madawa katika kufanya mapenzi kwani si hali ya kawaida mwanaume kufanya mapenzi mara nyingi kiasi hicho bila kuchoka.

  Mwanamke huyo amepeleka madai yake ya talaka kwenye mahakama ya sharia za kiislamu nchini humo.

  "Mwanamke huyo alianza kushangazwa na mumewe kwenye usiku wa kwanza wa honeymoon yao wakati mumewe alipolazimisha na kufanya naye mapenzi mara 17" alisema mwenyekiti msaidizi wa taasisi ya wanasheria wa sheria za kidini, Musa Awang.

  Mwanamke huyo alidai kuwa mumewe atakuwa na shetani aliyejificha katika mwili wake.

  Akizungumzia kauli hiyo, kiongozi wa kidini Datuk Ebu Hasan alisema kuwa "Ni mwanaume anayeshirikiana na shetani kufanya mapenzi pekee ndiye anaweza kufanya mapenzi mara nyingi kiasi hiki".

  Mahakama ya sharia bado haijatoa uamuzi wake katika kesi hiyo ya aina yake.


  Chanzo: nifahamishe.com
   
 2. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nasikia kuna ugonjwa flani mtu akiwa nao, ni ugonjwa wa akili sijui, yaani anaweza kufanya ngono muda wote! Wanawake wenye ugonjwa huo pia wapo, hata hapa Tz niliwahi kusoma kwenye magazeti habari kama hizo za watu kudai talaka kutokana na wenzao kuzidi ktk ile habri
   
 3. Johas

  Johas Senior Member

  #3
  Aug 24, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu!, is there any standard limit of durations for a man getting satify in sexual intercourse?
  Nijuavyo mimi,unapokuwa na mchuchu wako faragha baada ya `anguko` la kwanza.,heathically unaweza kusimama tena na kuendelea na safari yako ya kupanda mlima baada ya dakika 45`kwa mantiki hiyo ndani ya masaa ya 12 tu ya mchana au usiku unaweza kuendeleza safari yako ya kukata vilima mara `16` bila ya kuwa na eti shetani,That is a premitive non-sense! Nawakilisha
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,649
  Likes Received: 1,473
  Trophy Points: 280
  yaani umefaya kuwa katikamuda huo hakuna kazi nyingine ni hiyo tu? hata kulala/kula? na aliyesema muda wa kusimamisha mchuchu ni 'kila dakika 45' ni nani? manake uzoefu unaonyesha kila baada ya kuangusha profressively muda wa kuusimamisha unaongezeka pia. rudi shule kisha uje uwasilishe upya
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  inawezekana mara kumi kwa siku moja. lakini sio kila siku inayofuata. Hakuna standard kwenye hili, uliza mabinti wakwambie wanayokutana nayo mitaani!
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Twasubiria ma binti watupe uzoefu wao....
   
Loading...