ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,050
- 61,375
Napofanyia kazi hapa kijiweni Kuna njia inayoelekea sokoni Sasa kila siku asubuhi mida ya saa tatu mpk saa sita mchana wanawake hasa wa Rika la Kati wengine wameolewa hupita huku wakiwa wamejifunga kanga moja ndani kaupaja kanaonekana...
Yaani katika wanawake kumi Basi saba wanapita na kanga moja na huku nilipo mkoa Kuna upepo Sasa kanga inakuwa inajifunua funua na yeye anakuwa anajifanya kama anairudishia ikae sawa.
Ila Mimi nishagundua hio michezo lengo lake sii zuri kwetu sisi vijana wa kiume wanatuletea vishawishi halafu Cha ajabu unaweza kumsemesha akakuletea lomoni Sasa sijui Kuna mtu mnakuwa mnamtega au mnatutega wote waache tabia zao kututoa udenda watu tukiamua kutubia ma file yetu wenyewe wanaturudisha kwa shetani.