Sikumlazimsha wala nini ni yeye mwenyewe na Roho yake ya huruma kaniletea Mchoro niupasue, na kweli niliupasua aswaa.
Nyonya sana kiantena, piga sana tarumbeta mwisho nikaupasua mchoro wake kwa...
Kuna mwanamke naishi naye mwezi wa Sita, sasa ila nimekuja kuambiwa na mtu wa karibu kutoka Familia yao kuwa huyu mwanamke alishawahi kuugua ukichaa mwaka 2015 akatibiwa akapona. Tatizo ni mie...
Jumapili njema kwa watu wote.
Twende kwenye mada
Kwa nini mwanamke akimfumania mwanaume/mme wake kuna uwezekano wa kumsamehe na mapenzi yakaendelea japo yatapungua kiasi chake ila kwa nini...
ndugu zangu wa jf. salaam aleikum. ni mara yangu ya kwanza kujitokeza humu ndan kwa kutoa yaliyonisibu. naomba mnishauri wana jf. nimeoa na nimebahatika kupata mtoto mmoja.
mke wangu ni mzur na...
Mimi ni kijana nilikuwa ktk mahusiano na binti mmoja, ila kutokana na tabia zake nikaamua kumuacha, ila yeye hataki kusikia hilo neno la kuachana na yupo tayari niwe na mwanamke mwingine ila yeye...
Maumbile yetu huwa yanatofautiana, ndio maana tunasikia vibamia, tango, mpini, mkono wa mtoto n.k pia kwa wenzetu tunasikia flat, iliyojaa, mnato, iliyobonyea n.k. Sasa inapotokea unakutana na...
Wazee wetu wa zamani walidumu sana katika ndoa zao labda kwasababu wanawake walifundishwa kuwatii waume zao huku mfumo dume ukiwa umeshika hatamu katika jamii zetu.
Lakini sasa imekuwa tofauti...
Wanawake wanapenda mapenzi ya gizani
Sunday October 02 2016
Inaeleweka kuwa wapendanao iwe wanandoa au wapenzi hupenda kufanya mapenzi sehemu yenye mwanga hafifu au gizani.
Wanawake wanapenda...
Mpendwa mwanangu,
Nataka ujue kwa nini nilikufa nikiwa masikini wakati nina mtoto kama wewe.
Mwanangu, nilitaka kukupa baraka zangu kabla sijafa, lakini sasa nimeondoka na baraka zangu.
Chakula...
Ushawahi kuwa na rafiki kila siku ana shida yeye, analalamika yeye tu akiwa na shida haraka kwenda.
Rafiki anataka kukugeuza kama chawa wake hivi. Kukopa sasa pesa ndio usiseme
Ulifanyaje...
Habari za wakati huu, weekend inaendaje huko mliko wakuu
Binafsi nilikuwa sijui Hata kama leo ni jumamosi walai😁😁..tuachane na hilo 😊
Katika pitapita zangu mitandaoni leo nikakutana na picha ya...
Nina tatizo la kifamilia kila nikiwaza nimshirikishe rafiki yangu wa karibu nina sita wazazi wamesha solve lakini bado mwanamke anarudia rudia kutojirekebisha.
Yaani nina mawazo mno sijui...
Nimepigiwa simu kuwa aliyekuwa mke wangu(mama Agness) amepata ajali mbaya ya pikipiki maeneo ya Mtoni Mtongani, kwa Buruda. Ajali hiyo imepelekea kifo chake na jamaa yake hapohapo. Kwani jamaa...
Wakuu Kama mnavyojua siku zinaenda kasi na kila kijana ndoto kubwa nikupata familia Bora ..
Me Hali yangu nimkimya mpole kuongea namtu Sana Sana labda niwe nimemzoea kweli kweli ..
Sasa naomba...
Naandika hapa nikiwa na hasira sana, ila nimeona bora nimalizie hasira zangu humu labda michango yenu wanajamvi inaweza kuwa na mantiki na ikaniliwaza na kunitoa kwenye hasira niliyo nayo...
Habari,
kumekuwa na mijadala mingi sana ya kuhusu ndoa humu ndani na wengi wakiwa wanalalamika kuhusu wake zao kuchapiwa/usaliti/mateso na changamoto mbali mbali za ndoa.
Kwa upande wangu, nimeoa...
Habari za mchana ndugu jamaa na marafiki,😊natumai mnaendelea vizuri.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Unajua si kila Ex anakuwa amekufanyia mabaya tu, si ndio e Ehee. Kama...