Je, nioe mke muongeaji na mcheshi (extrovert) au mkimya mpole (introvert)?

Je, nioe mke muongeaji na mcheshi (extrovert) au mkimya mpole (introvert)?

new level

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2021
Posts
270
Reaction score
587
Wakuu Kama mnavyojua siku zinaenda kasi na kila kijana ndoto kubwa nikupata familia Bora ..

Me Hali yangu nimkimya mpole kuongea namtu Sana Sana labda niwe nimemzoea kweli kweli ..

Sasa naomba ushauri kwa Hali hii nisawa kuoa mwanamke muongeaji .. ? Target niku balance personality.. ili mgeni akija walao asipokua occupied na Mimi bas mke wangu awe na uwezo waku handle iyo issue.. kuwafanya wageni wajisike wako nyumbani .. pia namimi nikiwa nae aniongeleshe ongeleshe Yan nichangamke tucheke tufurai. . Etc..

Hofu yangu siyo kwamba nikioa muongeaji anaweza nipa drama ambazo zitanifanya nijioni me nae atuendani ? Yan unakuta mke wamoto balaa ... ukirudi home ni full kelele ..

Kuoa mwanamke mpole mkimya kama Mimi tukiwa ndani tunakuw kimya zinaweza pita dak 10 akuna story yoyote mgeni akija kunakuw akuna ile energy yakumfanya mgeni a feel yupo home nakua comfortable na sisi labda small talks zakawaida tu ..

Hofu yangu siyo kwamba tutaonekana tuna kiburi au atupendi wageni ? cuz introvert Ni watu cool anaweza kua kimya mkiwa pamoja na siyo kwamba apendi uwepo wako but Ni Hali flan tu yakiubaridi anakua nacho like awez piga story za huku nakule Kama wengine ...

So what do y'all think kwenye hii issue .

Cuz Kuna kadem ninako Yan nikama pacha wangu we can literally spend more than 20 mins tuna watch tv akuna story akuna any type conversation yakusema et tunazungumza than vitu tu vyamsingi ..

Yan tukiongea inakua maelekezo tu like uko wapi njoo , nimefika , nisah ngapi , mda umehnda, naondoka , bruh .. [emoji16] sasa nais still nitakuw kweny the same world. ..

Kuna dem mwengine yeye bahati mbaya yupo mkoa mwengine ila akinipigia sim Yan nitacheka mpaka mbavu ziume kana story balaa.. so niko njia panda ... Ni deal namuongeaji au uyu mpole mwenzangu ?

Kwenu wadau [emoji3578]
 
Oa mchangamfu sio muongeaji maana kuna wanawake wanajua kuchangamkia wageni sana yani! Unakuta sio muongeaji ila mgeni akija anabadilika kabisa anakuwa so charming ila wageni wakisepa anakuwa mtulivu!

Muongeaji atakuwa anakuchamba 😅 kila saa akikuzoea sana!
 
Muongeaji atakuwa anakuchamba [emoji28] kila saa akikuzoea sana!
[emoji1787][emoji1787] na iyo ndo hofu yangu .. Asante sana

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Oa mchangamfu sio muongeaji maana kuna wanawake wanajua kuchangamkia wageni sana yani! Unakuta sio muongeaji ila mgeni akija anabadilika kabisa anakuwa so charming ila wageni wakisepa anakuwa mtulivu!

Muongeaji atakuwa anakuchamba 😅 kila saa akikuzoea sana!
Nilitaka niseme amuoe Extrovert
 
unaoa kwa ajili yako au kwa ajili ya wageni?
Mkuu ukishakuwa kwenye ndoa issue za socialization aziepukiki Kuna kwenda harusini Kuna kutembelea wagonjwa yan inshort ku deal najamii Sasa sisi ma introvert baazi yetu atuwezagi kuwa kweny mchanganyiko wawatu Mara kwa Mara .. kwaiyo ukipata mke ambae Mambo Kama hayo Ana ya handle .. inakuw poa Sana ...

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom