Kufumaniwa: Mwanamke Vs Mwanaume

Kufumaniwa: Mwanamke Vs Mwanaume

kingkongtz

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2019
Posts
1,059
Reaction score
3,658
Jumapili njema kwa watu wote.

Twende kwenye mada

Kwa nini mwanamke akimfumania mwanaume/mme wake kuna uwezekano wa kumsamehe na mapenzi yakaendelea japo yatapungua kiasi chake ila kwa nini mwanaume akimfumania mwanamke/mke wake inakuwa ni hapo hapo kuachana .(na ni vigumu kurudiana)

Labda wachache sana ndo huwa wanaweza kuendeleza mahusiano/mapenzi

Mifano ninayoikumbuka

1. Kaka yangu zamani aliwahi kufumaniwa na mke wake lodge akiwa na mwanamke mwingne wananyanduana ila alikuja kuomba msamaha plus vikao vya wazee wakarudiana hadi sasa wana watoto wanne (ila inasemekana mke wa kaka alimloga mwanamke aliyemkuta lodge na mme wake maana mguu wake wa kushoto ulipooza hawezi tembea vizuri kama zamani,japo baadhi wanadai ni maradhi tu ya kawaida)

2. Kuna jirani na nyumba yetu alimfumania mke wake jamaa anakula mzigo ,usiku huohuo baada ya fumanizi , alimfungashia mizigo yake na makofi juu akamfukuza mpaka leo ameshaoa mwngine na maisha yanaendelea.

3. Mwingine ni rafiki yangu nmesoma nae chuo,siku moja demu wake alichukua simu akaanza kusoma text (jamaa ni mzembe wa kufuta sms), akakuta sms za huyo rafiki yangu anamsifia demu mwngne akimpongeza kwa penzi alilompa .aisee demu aliwasha moto hakutaka hata kumuona huyo mshikaji ila nashangaa baada ya kama mwezi wakarudiana tena.

Hii imekaaje ndugu zangu.
 
Umeuliza kwanini?wacha nikujibu...

Mfano unayofunguo inayofungua kila kufuli na

Uko na kufuli linalofunguka na kila funguo,hata vijiti hata vinafungua.

Kipi kina umuhimu
 
Mm cjaelewa..
nawafkiria wanaume Ambayo hata wakiwafumania wanawake wao wanafoka tu dakika chache kisha anasahau..

Je hawa wako group gan..?
wanamoyo wakike? ...

Mm nawachukulia au nawaona ni wanaume Ambao hisia zao zko next levo,
Wamefanikiwa kuishinda ile wanaita ego

Wametoka ktk ule mfumo wa uzezeta wa hasira na uchungu wa kujmilikisha kiungo cha mwanamke ( kikee) kwa kuhisi kwamba anamaamuz nacho .
kumbe hata ufanyeje mke wako au dem wako akiamua kukiachia imeisha iyoo

Hahahaa
 
Usithubutu kukutwa na bwana Pepsi😅! Wanaume sisi ni Dominants kwenye mahusiano so huwezi kuwa mfalme ukajenga himaya na malkia dhaifu ambaye anaruhusu kuingiliwa kizembe
 
Andika kichwa cha Habari kuwa KWA NINI HUKU AFRICA KUNA TOFAUTI YA KIMAAMUZI BAADA YA FUMANIZI LA MWANAMKE NA MWANAUME? Wazungu cheating is cheating hakuna excuse ya gender
 
Back
Top Bottom