Ukimtongoza Mwanamke na ukakataliwa huwa unakuwa na mtazamo gani juu yake?

Meshacky Allyson

Senior Member
Oct 29, 2020
126
250
Habari wana JF,

Natumaini mu wazima wa afya , leo ni weekend hope mko poa na wengi wenu ni mapumziko leo.

Moja kwa moja kama uzi hapo juu unavyojieleza . Binafsi kama kijana, nimekutana na case nyingi tu za boyz wenzangu kukataliwa na girls pindi wanapowataka kimahusiano.

But cha kushangaza zaid ni juu ya mitazamo yao kwa hao girls walio wakataa. Mara nyingi hutofautiana sana .mwingine anasema yule dada anaringa , cjui huyu anajiona keki , ukigeuka huku mara cjui kisa sina hela , dressing code zangu mbovu , mwingine cjui nn , yaan kila mtu ana la kwake juu ya kukataliwa . Binafsi nishawah kupitia hali hii ya kukataliwa ktk mahusiano na mtazamo wangu huwa ni tofauti kdg , mm huwa naona kukataliwa ni sehemu ya maisha pia , maana si kila mtu anaweza kukuchagua kama ww ulivyomchagua. So huwa ninakuwa muelewa tu na kupotezea kusumbua binti wa watu . Sasa wengine huku vijuweni malalamiko kibao , matusi kama yote .kisa kukataliza .

Hebu tupe mtazamo wako hapo chini juu ya wadada ambao kwa namna moja au nyingine walikukatalia kuingia ktk mahusiano nao na pengine walikupa sababu . Mtazamo wako juu yao ulikuwaje..?

Uzi nawasilisha
 
Kuna baadhi ya wadada wanakukataa ili wao wajisikie vizuri kwamba ni bora zaidi yako, yani kuna wadada vichwa vyao vinavimba na wanafurahi sana kumkataa mwanaume, ingawa physically unaweza ona ameukataa kistaarabu ila moyoni amefurahi kukukataa..anapata ego boost akikukataa kimapenzi..

Binafsi mm naona mdada yoyote ninaemtongoza, ana haki zote za kunikataa, kwani uamuzi ni wake, na papuchi ni yake, siwezi mpangia matumizi...
 
Appreciate ma Nigga
 
Ni kweli kabisa. Na asianze kununa akikuona unaruka na wadogo zao wa form one. Maana hakuna namna.

Utasikia, khaaa jamani huyo si mdogo wako kabisa jamani.

Nyokololo.... Sasa ulitaka nifanyaje na unaleta mapozi unadhani me natongoza kwasababu napenda kusumbuliwa kichwa.....?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa mimi hua sitongozi, kwahiyo siwezi kukataliwa. Mimi hua najenga mazoea na binti, utani utani mwingi, namtoa out (siombi kumtoa) na mambo mengine yanajiseti. Katika hatua yoyote nikiona binti anaonyesha dalili za kuzingua au za kutokua interested mi nampotezea kimya kimya kama vile hakuna kilichotokea nahamishia nguvu zangu kwa mwingine.
 
Yeah , that is true ma Nigga
 
Hivi mnajua ile dry spell unajikuta kila unayemtokea anakutolea nje?

Halafu kuna moment kila unayemgusa hachomoi yaani hata kipofu anakujibu 'Nilikua nakuona siku nyingi na nilikupenda tangu siku ya kwanza kukuona'
 
Sitongozi dem from nowhere nakuwa nishapima upepo japo inatokea ukakataliwa sehemu ambayo hutarajii but all in all kila mtu ana ndoto zake ni muhimu kuzieshimu
 
Ni kweli kabisa. Na asianze kununa akikuona unaruka na wadogo zao wa form one. Maana hakuna namna.

Utasikia, khaaa jamani huyo si mdogo wako kabisa jamani.

Nyokololo.... Sasa ulitaka nifanyaje na unaleta mapozi unadhani me natongoza kwasababu napenda kusumbuliwa kichwa.....?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukiruka na madogo wa form one askari wanaruka na wewe, hakimu anaruka na wewe, ukifika jela nyapara nae anaruka na wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom