Nimeachwa na mke, kwa sababu sina hela

Nimeachwa na mke, kwa sababu sina hela

Mr mgeni

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
1,222
Reaction score
812
Nawasalim,

Moyo unasononeka sijapata wakunifariji, ila naamini humu kuna watu wana mioyo ya upendo. Nawakaribisha sana.

Natamani siku moja nipate mwanamke atakae nipenda mimi kama mimi nikiwa na umasikini wangu huu.
 
Umasikini sio sifa ya kuçhagua mke hebu tumia kuachwa kwako kama fursa ya kusaka mshiko kwa hasira ila wakuamkie baadae.ACHA KULIA LIA HATA MIMI YALINIKUTA KAMA HAYO ILA NISAKA NOTE KWA KILA HALI HATIMAYE YALE MADEMU YAMEANZA KURUDI KWANGU HUKU YANALIA MBAYA ZAIDI YAMESHACHAKAA
Nawasalim,
Moyo unasononeka sijapata wakunifariji,ila naamini humu kuna watu wana mioyo ya upendo.
Nawakaribisha sana.Natamani siku moja nipate mwanamke atakae nipenda mimi kama mimi nikiwa na umasikini wangu huu.
 
usikubali izi shauli za kuwa utafute pesa kwanza ndio upendwe na mwanamke kwa sababu ukioa aliekupndea pesa ipo siku atakuzoea na kukuon wakawaida tu coz anakuwa kashazoea hela zako atanza kukuletea mazarau wew mwisho wa siku ndoa inakuwa ndoano.

utaanza kuja jukwaani umu tena kupmba ushauri mke wako kabadilika.
 
We tafta hela, acha kuwaza sana mapenzi. Katika utaftaji wako hakika utaja kutana na atayekupenda kwa dhati.
 
Nawasalim,
Moyo unasononeka sijapata wakunifariji,ila naamini humu kuna watu wana mioyo ya upendo.
Nawakaribisha sana.Natamani siku moja nipate mwanamke atakae nipenda mimi kama mimi nikiwa na umasikini wangu huu.
Mkuu unataka tukusaidie kuhudumia? Inawezekana ulivaa kiatu ambacho sio saizi yako, tafuta mnaeendana hutojutia kamwe. Unaishi Nyang'hwale unataka kummiliki Amber Rutty
 
usikubali izi shauli za kuwa utafute pesa kwanza ndio upendwe na mwanamke kwa sababu ukioa aliekupndea pesa ipo siku atakuzoea na kukuon wakawaida tu coz anakuwa kashazoea hela zako atanza kukuletea mazarau wew mwisho wa siku ndoa inakuwa ndoano.

utaanza kuja jukwaani umu tena kupmba ushauri mke wako kabadilika.
Nimekusoma.
 
Mkuu unataka tukusaidie kuhudumia? Inawezekana ulivaa kiatu ambacho sio saizi yako, tafuta mnaeendana hutojutia kamwe. Unaishi Nyang'hwale unataka kummiliki Amber Rutty
Aisee sirudii,naamini wanawake ni viumbe hatari sana.
 
Back
Top Bottom