Siku hizi nimekuwa na wivu wa kijinga

scot mcomic

JF-Expert Member
Apr 17, 2021
225
368
Habarini za wakati huu wakuu naomba nisiende mbali niingie kwenye mada moja kwa moja kama kichwa kinavyojieleza

Wakuu siku hizi nimekuwa mtu wa ajabu kweli, yaani nimekuwa na wivu usio na maana kabisa na sijui namna ya kurekebisha hii hali kwa kweli yaani unakuta rafiki yangu yupo na demu wake akimkumbatia mbele yangu yaani nahisi vibaya mpaka hata macho yanajionesha kabisa wazi sio kama demu sina ninaye pia ila hivyo tu sipendi

Nahisi kuna mwenzangu mmoja ameshaniona hii tabia yaani akija naye anamkumbatia kabisa na kumkiss mbele yangu huku ananiangalia. Kweli huwa nashindwa kuvumilia mpaka machozi yananilengalenga kabisa sio kwamba nawatamani mashemeji hapana sina hisia nao ila basi tu sijui nikoje au ni kawaida wakuu KARIBUNI NASIKILIZA MAWAZO YENU WAKUU HIKI KITABIA CHANGU KIPYA KINANIKERA SANA
 
Wewe huna wivu. Angalia hii clip ndio ujue kuna watu wana wivu wa kijinga sana sana
 

Attachments

  • VID-20211108-WA0053.mp4
    2.1 MB
Kila jambo linaweza Kua controlled na ubongo tu, chakufanya epuka kuconcentrate kuangalia Maraia wakifanya yao, jifanye kama huwaoni au wazia mambo mengine kabisaa na kama uko na simu karibu chukua tumia kuzuga

Hiyo mambo ukiiendekeza Utakua mtu wa Ajabu sana mkuu
 
Back
Top Bottom