Wanaume tuoe kwa sababu...

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,289
Ipo hivii wanaume wenzangu leo nataka tujulishane juu ya hili jambo mwiba kwetu. Maana hii taasisi iitwayo ndoa imegeuka na sio kuwa sehemu ya furaha na amani kwetu... imegeuka kuwa sehemu ya majuto makubwa, mauaji, ushirikina na utumwa uliokithiri kwa jina la ndoa.

Wanaume wengi tumejikuta leo hii nyumba tulizozijenga kwa pesa na jasho la uchungu ili tufurahie maisha huku tukinunua vitu vya thamani ili viweze kusaidia kuleta furaha katika hizo nyumba lakini imekua kinyume chake. Zaidi ya maumivu na mitafaruku isio kuwa na maana.

Wanaume tumejikuta tukihangaika kila pande ya dunia kuhakikisha tunapata chochote ili tukale na wale tunaojiongopea tunawapenda kwa furaha lakini mwisho wa siku juhudi zetu zimekuwa miiba kwetu na kuonekana hakuna tunachokifanya yaani just nothing.

Wanaume tubadilike Kama wenzetu jinsia ya pili ilivyoamua kubadilika yaani kuanzia leo tunaoa kwa mission maalumu na haya mambo ya shida na raha tuwaachie babu zetu.

Mifano
......tuoe kwa sababu tunataka watoto ...tuoe kwa sababu Kuna kazi inataka mtu Alieoa.......just marry for a mission.

Tukiweza kuoa kwa mission haya maumivu na mabalaa tunayopitia yataisha na tutageuza kibao kile Cha wanaume wanawahi kufa kuliko wanawake.

Mwanaume tutafute hela kwa ajili yetu na mipango yetu sio kwa ajili ya kuwapa watu wasio na shukrani..... watu wasio weza kukithamini pale usipo kuwa na kitu.

Wanaume yale Mambo ya kuvaa kiatu kimoja miaka Saba na hela za kubadilisha unazo ila umeamua kuvaa kiatu kimoja miaka Saba ili umridhishe mtu kwa kumrundikia viatu Hadi hajui avae kipi huo ni upuuzi na mateso ya kifala.

Wanaume tujipende na tuwapende watoto na baadhi ya watu(ke) watakao thamini michango yetu kwao.

NB
Kuna mbuzi watakuja kusema man down....ila ninacho waambia tu kuwa nilichokiandika hapo ndio ninachokiishi na naishi maisha Safi kabisa na situmikii gereza wa kifungo chochote kile am just living my own life ....no one to judge me....no one to make explanation for what I did ....na ninaishi nikijua watu wanakuja maishani na kuondoka kwa kihiyo kuachwa/kutoswa kwangu ni sherehe sio majonzi Kama ilivyo kwenu ....ni furaha kwa sababu nakua nimepewa fursa ya kujua kwingine kupoje.


Tafuta pesa nyingi .......jipende.......wapende watoto.....wapende baadhi ya ke wanao kupa furaha..... Na usikipoteze.
 
Kwa nini usimuone psychologist kwanza umeongea mambo ya kweli mkuu lakini ulivyoweka misisitizo hapo chini na kuona kiumbe kinachopinga hoja yako "mbuzi" ni tatizo tayari,ni dhahiri shahiri una maswahibu yanaish moyoni mwako.
 
'wanaume tumeumbwa matesoo, matesooo kuhangaikaa..!'...!
Hiyo ni misemo tu na wanaoishi katika misemo hii ni waduanzi.... Binadamu yoyote mwenye akili timamu hawezi kuchagua kuwa punda wa mwenzie .

Na hizo ni slogan mnazozitumia kuendelea kukandamiza na kuwatumikisha wanaume wasiojitambua
 
Ipo hivii wanaume wenzangu leo nataka tujulishane juu ya hili jambo mwiba kwetu. Maana hii taasisi iitwayo ndoa imegeuka na sio kuwa sehemu ya furaha na amani kwetu ...imegeuka kuwa sehemu ya majuto makubwa, mauwaji ,ushirikina na utumwa ulio kithiri kwa jina la ndoa.

Wanaume wengi tumejikuta leo hii nyumba tulizo zijenga kwa pesa na jasho la uchungu ili tufurahie maisha huku tukinunua vitu vya thamani ili viweze kusaidia kuleta furaha katika hizo nyumba lakini imekua kinyume chake. Zaidi ya maumivu na mitafaruku isio kuwa na maana.


Wanaume tumejikuta tukihangaika kila pande ya dunia kuhakikisha tunapata chochote ili tukale na wale tunao jiongopea tunawapenda kwa furaha lkn mwisho wa siku juhudi zetu zimekuwa miiba kwetuna kuonekana hakuna tunacho kifanya yaani just nothing.


Wanaume tubadilike Kama wenzetu jinsia ya pili ilivyo amua kubadilika yaani kuanzia leo tunaoa kwa mission maalumu na haya mambo ya shida na raha tuwaachie babu zetu.

Mifano
......tuoe kwa sababu tunataka watoto ...tuoe kwa sababu Kuna kazi inataka mtu Alie oa.......just marry for a mission.

Tukiweza kuoa kwa mission haya maumivu na mabalaa tunayo pitia yataisha na tutageuza kibao kile Cha wanaume wanawahi kufa kuliko wanawake.


Mwanaume tutafute hela kwa ajiri yetu na mipango yetu sio kwa ajili ya kuwapa watu wasio na shukrani .....watu wasio weza kukithamini pale usipo kuwa na kitu.

Wanaume yale Mambo ya kuvaa kiatu kimoja miaka Saba na hela za kubadilisha unazo ila umeamua kuvaa kiatu kimoja miaka Saba ili umridhishe mtu kwa kumrundikia viatu Hadi hajui avae kipi huo ni upuuzi na mateso ya kifala .


Wanaume tujipende na tuwapende watoto na baadhi ya watu(ke) watakao thamini michango yetu kwao.



NB
Kuna mbuzi watakuja kusema man down....ila ninacho waambia tu kuwa nilicho kiandika hapo ndio ninacho kiishi na naishi maisha Safi kabisa na situmikii gereza wa kifungo chochote kile am just living my own life ....no one to judge me....no one to make explanation for what I did ....na ninaishi nikijua watu wanakuja maishani na kuondoka kwa kihiyo kuachwa/kutoswa kwangu ni sherehe sio majonzi Kama ilivyo kwenu ....ni furaha kwa sababu nakua nimepewa fursa ya kujua kwingine kupoje


Tafuta pesa nyingi .......jipende.......wapende watoto.....wapende baadhi ya ke wanao kupa furaha..... Na usikipoteze.
Mbona unapangia wadau cha kucomment?

Wewe umeleta uzi tulia acha watu wajimwage wakudadavue na siyo kuweka defense mechanism.

Hivi ukishindwa kumcontrol mwanamke hapa duniani utaweza jambo gani? Tena hii ni human nature kabisa na Mungu ameumba hivyo yani.
 
Kwa nini usimuone psychologist kwanza umeongea mambo ya kweli mkuu lakini ulivyoweka misisitizo hapo chini na kuona kiumbe kinachopinga hoja yako "mbuzi" ni tatizo tayari,ni dhahiri shahiri una maswahibu yanaish moyoni mwako.
Hivi mtu ukimuambia uzinifu ni mbaya unaleta maradhi na hasara kwa kutumia dakika chache kufaidi alafu ukatumia miaka kujitibu maradhi ambayo uliyapata ndani ya saa moja tu ....ukisha maliza kumuambia hivyo anakuona wewe boya huyu mtu unamuweka kundi gani....?
 
Tunakoelekea hii taasisi ya ndoa (ambayo imegeuka kuwa kama a well orchestrated scam) sijui itakuwa na hali gani maana kwa sasa ni vilio kila kona....

Tuangalie sana:

1. Mmomonyoko wa maadili ktk jamii
2. Kuiga iga mambo hovyo.
3. Usasa usio na mipaka
4. Athari mbaya za mfumo dume
5. Usawa wa kijinsia
6. Mabadiliko ya mfumo wa maisha

Ati:

1. Ni lazima kuoa/kuolewa? Kwa nini?
2. Ni lazima kuwa monogamous?

Meanwhile: (Mwanaume tambua):

#KuchapiwaHakuepukiki
#Kuchapiwanisiriyandani
#KitandaHakizaiHaramu


31KCCrxrR0L._SX331_BO1%2C204%2C203%2C200_.jpg
 
Mbona unapangia wadau cha kucomment?

Wewe umeleta uzi tulia acha watu wajimwage wakudadavue na siyo kuweka defense mechanism.

Hivi ukishindwa kumcontrol mwanamke hapa duniani utaweza jambo gani? Tena hii ni human nature kabisa na Mungu ameumba hivyo yani.
Mbuzi lazima wafungwe kamba ili kuleta utulivu wa kikao

Usinidadavue Mimi dadavua mada husika
 
Ngoja ukue utajua umuhimu wa ndoa!.

Ndoa ni muhimu ila iwe na win win. Sio upande mmoja unanyonya upande mwingine

Mtoto wa CEO wa CRDB kimei harusi yake ililetwa humu. Nakumbuka alikuwa anamuoa binti wa mwenye sheli za victoria. Hiyo ni mojawapo ya ndoa yenge win win

Ama ndoa ya beckham na victoria enzi zao. Ndoa ina win win ama beyonce na jay z

Ila ndoa za mmoja hana kitu ila anataka apokee tu kwa mwenye kitu hiyo ni ndoa ya kinyonyaji
 
Back
Top Bottom