Merisho Sniper
Member
- Mar 11, 2019
- 5
- 2
Samahanini Nina tatzo moja naomba mnisaidie, Yaani Mimi katika harakati zangu za kutongoza, nikijibiwa "Nina mtu" au "nina mpenzi tayari" Sina ujanja na huwa sijui maneno gani Tena ya kusema na sijawahi kumpata mwanamke ambae ashawahi nijibu "Nina mtu"
Naomba mnipe ujuzi tafadhali cozi nikishajibiwa hivyo nakata tamaa kabisa yani
Naomba mnipe ujuzi tafadhali cozi nikishajibiwa hivyo nakata tamaa kabisa yani