Msaada mwenzenu yamenikuta nina sherehe yangu ya ndoa hivi karibuni,
Sasa basi kila nikifikiria kwenda kusimama mbele za watu na kuongea yaani katika kutambulisha uwiii[emoji28]nahisi jasho...
Wapendwa nashukuru kwa muitikio wenu, nimempata mdada mmoja hivi, ni mzuri sana lakini ana gharama sana, bahati mbaya au nzuri ni mkazi wa kanda ya ziwa yaani tupo nae mkoa mmoja, lakini cha...
Mbinu za malezi zilizoleta matokeo mazuri kwa mtoto wa miaka 13 zinaweza zisilete matokeo yanayotarajiwa kwa Mtoto wa miaka 7 kwa sababu ya hatua ya ukuaji wa watoto hao. Kuna umri unafika katika...
Niko na mpenzi wangu ila tatizo linakuja tukiwa tunanyanduana mwenza haoneshi kusikia kitu kabisa, hata ukikandamiza yote haoneshi kabisa.
Sasa hii hali inanifanya najisikia vibaya, sielewi...
Aliyekuwa mchezaji wa American football wa team ya New York Jets ,huko Marekani, kijana anayekwenda kwa jina la Zack stacy (umri wa miaka 30),amejikuta matatani baada ya aliyekuwa mpenzi wake...
Abeid akiwa na umri wa miaka 42, amefanikiwa kuwa na kazi, ndoa na watoto. Kazini sasa ni mmoja wa mameneja, na yeye lunch analetewa mezani kwake.
Kule ofisini alianza uhusiano wa kimapenzi na...
Tunaishi na mdogo wa mama wa watoto wangu, ambaye mi namuita shemeji, baada ya kumaliza kidato cha sita matokeo yake hayakuwa mazuri, nikaamua kumuweka kwenye shughuli zangu ili aendelee kung'ara...
Iko hivi kuna bro wangu ni 27 alianzisha mahusiano ya kimapenzi na mdada 25 hivi kwa lengo la kuoana
Mahusiano yamevunjika, na wa kwanza kuvunja ni huyo mdada,akaanza kufanya uchunguzi kwa nini...
Boy introducing his 95th girlfriend to his boys
HIS BOYs: hatujui hata umempa nini broh wetu hatujawahi muona akiwa kwenye love like this
Alafu Girl nae Anajibu: ' ni mapenzi tu'
😅😅😅
Maisha ya mjini kila mmoja anapambana kwa kila njia ili aweze kutimiza malengo yake. Mbaya zaidi baadhi ya dada zetu, wanatumia uhusiano kama fursa ya kutimiza ndoto zao. Unakuta mzee wa watu...
Sitasahau mwanaume Mimi nilivosutwa na yule Dada,
Nakumbuka tulikua tunafanya kazi taasisi flani ivi tuliajiriwa kama kumi ivi kwenye intake moja wanawake 6 na wanaume 4
Mimi kiroka nikashibana...
Heshima kwenu wakuu. Usipite bila kushauri.
Kuna issue ya kimahusiano inaleta utata kwenye familia.
Tuna kaka yetu mkubwa ameo mwaka wa Saba sasa na hawajabahatika na mkewe kupata mtoto. Familia...
Nina binti yangu ana miaka 12 na ningependa abobee kwenye 'animation' kwa sababu lengo langu ni kuanzisha kitu kinachoitwa 'Home of Animation'. Nimependa fani hiyo kutokana na fursa nilizoziona...
Habari wandugu
Seriously nimeshuhudia jamaa analalamika mke wake amesitisha kutoa chakula Cha usiku sababu hawana uhakika kuoga, ndani kunakuwa joto sababu fen haifanyi kazi jamaa anafikiria Leo...
Mwanamke au mwanaume yeyote anapokuwa mwenye akili timamu zilizo tulia katika mahusiano mapya kuna vitu ni lazima utavigundua kama huyu mpenzi wangu ananikubali au hapa nilipo nalazimisha huu...
In any kind of relationship, a breakup doesn’t happen suddenly! If you’ve been going through a hard time with your partner, agonizing
about whether to stay or not, just take some time alone and...
Habari wakuu
Niende moja kwa moja kwenye mada, mwaka 2017 nikiwa form 2 nilikuwa kwenye mahusiano na demu mmoja ambaye tulipendana mno, mapenzi ya kishule shule yale. kidume nilizama mno kiasi...
Habari wakuu
Kiukweli kabisa kama kuna mdau yupo humu zaidi ya mwaka na bado anateswa na mapenzi basi huyo ni zuzu, Maana humu kuna mbinu zote za kila changamoto ya kimahusiano yawe ya kawaida...
1. Zamu ya kulea mtoto.
2. Makelele ya mama kwa watoto.
3. Kufokewa kwa binti wa kazi mda wote.
4. Kupekuliwa simu.
5. Kudaiwa pesa za matumizi mara kwa mara.
Ongeza sababu zingine. Kama zipo