Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,323
- 40,172
Maisha ya mjini kila mmoja anapambana kwa kila njia ili aweze kutimiza malengo yake. Mbaya zaidi baadhi ya dada zetu, wanatumia uhusiano kama fursa ya kutimiza ndoto zao. Unakuta mzee wa watu; labda mkulima, mfugaji, au mstaafu baada ya kupata mafao yake hushawishiwa na wadada wa mjini kuwa kwenye mahusiano batili; ya kutoa pesa ili uweze kupata huduma. Baada ya pesa kukata, mzee hurudi nyumbani kusumbua familia.
Nawashauri wadada wa mjini, waache hiyo tabia; wakiendelea nayo hawatafika mbinguni.
Nawashauri wadada wa mjini, waache hiyo tabia; wakiendelea nayo hawatafika mbinguni.