SiwazuriSiwazuri
Member
- Oct 4, 2021
- 8
- 7
Msaada mwenzenu yamenikuta nina sherehe yangu ya ndoa hivi karibuni,
Sasa basi kila nikifikiria kwenda kusimama mbele za watu na kuongea yaani katika kutambulisha uwiii[emoji28]nahisi jasho jembamba linanitoka, unaweza kushangaa la mbele unarudisha nyuma, na la nyuma unapeleka mbele...plz msaada jamani kwa waliopitia walifanyaje?
Au walitumia nini katika kuondoa hofu[emoji23][emoji23]