Ni kweli sisi wanaume under 27 hatuwezi kuoa?

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
667
1,795
Iko hivi kuna bro wangu ni 27 alianzisha mahusiano ya kimapenzi na mdada 25 hivi kwa lengo la kuoana

Mahusiano yamevunjika, na wa kwanza kuvunja ni huyo mdada,akaanza kufanya uchunguzi kwa nini huyo mdada amemuacha akaja akagundua kuwa ana mahusiano mengine mwanaume miaka 40 hivi

Jamaa yangu alivyomhoji majibu yaliyotoka ni kwamba' Mr X nisingeweza kuolewa na mtoto ,bado sana,najua ulikuwa tayari kunioa ila nimehofia hapo mbeleni hutanitunza,hutaweza kulea watoto maana ujana ni maji ya moto,nitateseka hapo mbeleni,pole ila nimeamua

Cha kushangaza mdada anadate na huyo 40 years, mzee ana mke na watoto. Na wametangaza ndoa, kisa mzee ana vihela na ana majengo mengi

Vitu vinatafutwa, lakini nyie wanawake mungu anawaona
 
Sasa mungu wa nini hapo? Kama alivyoamua kuwa na wewe sasa kaamua kuwa na mtu mwimgine hakuna mungu kuona lolote hapo wala hakuna la kushangaza. Hata wewe ungeweza kukutana na 22 yrs ukamuacha ni vile imeanzia kwake. Hana maana tena kwako huyo, hastahili hata kujua kuwa ulikuwa serious kutaka kumuoa.
 
Hawaeleweki sometime, avumilie tu kwa muda huyo mzee akishamchoka ataanza mnyanyasa na kuja kumpigia huyo bro wako magoti
 
Muambie kaka yako atafute pesa tu,

Ajitahid kupeleka moto,

Amtafute mchina apunguze dudu lifike size yake


Goodluck
 
Fwedhaaaaa ni jibu moja lisilokua na kona kona mingi...

FB_IMG_16371242205572659.jpg
tapatalk_-1271371677.jpg
 
Back
Top Bottom