Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Niko hapa pembeni mwa shemeji /wifi yenu tukiwa kwenye mapumziko ya sherehe za mwisho wa mwaka. Kinachonisikitisha zaidi muda huu, ni kuwa muda wote yupo bize na watoto tu; wakati na mimi mtoto...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanazoea vibaya sana mamaeeeee mtu hatujawasiliana toka mwezi wa sita leo from no where, goooooog daamnnnnnn, bora nibaki singo kuliko hawa kupe
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana ilitakiwa wife aende Moshi, ila nikaiminya hiyo ratiba. Nilimuambia aende Masasi ila hajaenda bado, analia mpaka muda huu anataka nimruhusu aende kwa wazee wake. Na kwao yameibuka mapya...
45 Reactions
528 Replies
27K Views
Kumuelewa mwanamke ingia kwenye mahusiano na wanawake wengi kadri uwezavyo, hii itakusaidia kukutana na maumivu ya kila aina yanayosababishwa na wanawake kwenye mahusiano na hivyo kuwa sugu na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Siku ya jumamosi tarehe 5/6/2021 tutakuwa tunaazimisha miaka 15 ya mahusinano na mchepuko wangu. Kila mmoja ana ndoa yake ila tumebarikiwa kuishi kwa miaka 15 tukiwa kwenye mahusiano bila ya...
11 Reactions
126 Replies
14K Views
Ni leo tarehe 24/12/2021 mida ya saa Saba mchana napata hiyo meseji kutoka kwa mrembo mmoja makini Sana hapa mjini. Bad side ni kwamba now days nimeamua kuwa mtu mwema tangu nipate majibu yangu...
0 Reactions
6 Replies
793 Views
Salaam ndg zangu rehma za mwenyezi mungu ziwe nanyi... Kufupisha maneno mwaka 2017 kuna rafiki wa mke wangu automatically ni shemeji yangu tulikuwa tunapanga nyumba moja nitamuita XY. Sasa...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Wazazi wengi tunatofautiana katika kuwa na idadi ya watoto; wapo wanaopenda kuwa na watoto wengi na pia wapo wanaopenda kuwa na watoto wachache. Kwa jamii yetu ya kiafrika kwa walio wengi, mtoto...
9 Reactions
70 Replies
6K Views
Ma lecturer Katika elimu ya juu vyuoni huwa kuna mabinti wengi kuanzia miaka 18 hadi 24 hawana hatari kama wale wa sekondari mvua miaka 30 , wote hawa hatma yao kwa kiasi kikubwa huamuliwa na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama kichwa cha thread kinavyosema.. Wanaume Mungu anawaona!! Yani unakuta nguo za kike kwa mwanaume wako afu anakwambia eti ni za dada anaemsaidia kufanya usafi kwake!😥 Haya basi achana na...
16 Reactions
120 Replies
6K Views
Wakuu Kama kipimo kinavyoonyesha hapo mistari miwili mmoja umekolea Sana mwingne umefifia je kipimo iki majibu nipostive au negative?
5 Reactions
225 Replies
27K Views
Wasaidie wawili hawa kufikia muafaka.
6 Reactions
93 Replies
11K Views
Wanaume wote walio-oa, wanatakiwa watambue ya kuwa wake zao ni wazazi wao. Na hii ni kutokana na kunyonya maziwa ya mama (mke). Ndio maana sehemu zingine, mwanaume anaitwa ni mtoto mkubwa/wa...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko. Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia...
4 Reactions
217 Replies
13K Views
Hawa viumbe bwana tulidokezwa kuishi nao kwa akili na sio tu mke wako yani wanawake wote ni wa kuishi nao kwa akili. Haijalishi ana degree 10 au ni CEO wa malapalapa compny au vyovyote awavyo...
0 Reactions
8 Replies
953 Views
Usiku Mwema na Mzuuuri kwa wale wenzangu na Mie tuliopo nyumbani tena vitandani sahizi, Kwa wale mlioko huko 'duniani' watawa wish hao wenzenu na uchoyo wenu..!!😒
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Habarini wadau. Naandika hii kitu hapa baada ya kukerwa na tabia za baadhi ya mabinti especially hawa wamjini ambao wameanza kurithi tabia zile walizokuwa nazo wanaume za "kuna hela na isikilizia"...
90 Reactions
405 Replies
29K Views
Mambo vipi?? Wakubwa shikamoni!! Miaka takribani 10 iliyopita nilikuwa na urafiki na wadada wawili ambao ni o level classmates wangu. Tulikuwa close sana kiasi kwamba kujua ni nani anawafatilia...
10 Reactions
97 Replies
10K Views
Men should be stung through honey bees, but they don't should be stung through honey bees. Notwithstanding reality that young ladies are famously cunny and difficult to approach, men regardless...
0 Reactions
1 Replies
984 Views
Wakuu good evening. Aisee kuna hili swala mimi huwa linanitesa sana..Mimi huwa kuna muda namtamani tu mwanamke i.e sijiingizi kwenye serious relationship,yaani nazugazuga tu kuwa nampenda huku...
22 Reactions
261 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…