Kesho andaa kiwanja kizuri tusherekee

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,465
8,277
Ni leo tarehe 24/12/2021 mida ya saa Saba mchana napata hiyo meseji kutoka kwa mrembo mmoja makini Sana hapa mjini.

Bad side ni kwamba now days nimeamua kuwa mtu mwema tangu nipate majibu yangu ya vipimo vya HIV kutoka kwa yule doctor Alie nipima kisirisiri ila alipo ona majibu mazuri akaamua kunichana.

Niliamua my dick iwe ni kwa ajiri ya wife na kukojolea tu Sasa vishawishi vinazidi...ila nitapambana tu nitimize lengo.

Wewe mrembo sorry najua kesho umejiandaa kwa mashow makali ila nataka nikuambie tutaonana jioni Sana baada ya kuspend na wife kutengeneza madiko na kula kifamilia kabisa hapo nitawatoroka kidogo na kuja kwako na tukionana ni sehemu open na nitakunywa maji tu ...na kulipia bili zako za Savannah na Uber na hata ukitaka ulale hotel ...ila my dick No ....No....now days is for my wife and peeing na sita zidisha masaa mawili katika hiyo meeting. Then back to my family kumalizia viporo vyetu

Wanaume wote wenye hii situation tushee Basi ..
 
Wajinga kabisa !!

Na kwann siku hizi zilizowekwa kwa minajili ya sherehe za kidini

Ndo mnazitumiaga kulewa, Gest kujaaa , WATU ndo siku mnazofirana balaa.

Kwann ??? Yaaan kwenye siku 365...mmekoswa siku ya kutiana??
 
Mzee nilikua huko saizi nimeacha ...nataka niwe mtiifu
 
Ni leo tarehe 24/12/2021 mida ya saa Saba mchana napata hiyo meseji kutoka kwa mrembo mmoja makini Sana hapa mjini.

Bad side ni kwamba now days nimeamua kuwa mtu mwema tangu nipate majibu yangu ya vipimo vya HIV kutoka kwa yule doctor Alie nipima kisirisiri ila alipo ona majibu mazuri akaamua kunichana.

Niliamua my dick iwe ni kwa ajiri ya wife na kukojolea tu Sasa vishawishi vinazidi...ila nitapambana tu nitimize lengo.

Wewe mrembo sorry najua kesho umejiandaa kwa mashow makali ila nataka nikuambie tutaonana jioni Sana baada ya kuspend na wife kutengeneza madiko na kula kifamilia kabisa hapo nitawatoroka kidogo na kuja kwako na tukionana ni sehemu open na nitakunywa maji tu ...na kulipia bili zako za Savannah na Uber na hata ukitaka ulale hotel ...ila my dick No ....No....now days is for my wife and peeing na sita zidisha masaa mawili katika hiyo meeting. Then back to my family kumalizia viporo vyetu

Wanaume wote wenye hii situation tushee Basi ..
Siku izi nimekua very cool...Japo tamaa zinaninyemelea ila nazishinda KILA uchwao....hata beyonce awe mtupu mbele yangu simsalit wife ..baada ya kuruka ruka na kukwepa mishale mingi..Nimeamua ku staafu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom