Soma meseji hizi kati ya Mume na Mke waliofunga Ndoa ya Serikali kisha tafakari

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Wasaidie wawili hawa kufikia muafaka.


Screenshot_20211104-170952.png




Screenshot_20211104-171144.png
 
Ni
Sijaelewa hapo Kwenye iyo conversation?

Hawa wanaochati Ni wanandoa wameachana wanataka kufungua Ndoa ambayo tayar awali ilikwisha vunjika?
Au
Ni wachumba wanaotarajia kufunga Ndoa kanisani?
Ni wachumba wanaotarajia kufunga ndoa
 
Mkuu, wewe ndio umemchumbia Ukwelinasema ?

 
Nahisi wewe ndiye huyu anayesemwa hapa. Kwa nn mnarushiana vijembe mkuu?

 
Nahisi wewe ndiye huyu anayesemwa hapa. Kwa nn mnarushiana vijembe mkuu?

Jf Ina memba laki sita Sasa mkuu ujue
 
Back
Top Bottom