Usiku Mwema na Mzuuuri kwa wale wenzangu na Mie tuliopo nyumbani tena vitandani sahizi,
Kwa wale mlioko huko 'duniani' watawa wish hao wenzenu na uchoyo wenu..!![emoji19]
Mkuu wapi hiyo mvua plus blanketAsante nawe pia, Tena manyunyu ya mvua kwa mbali ndani ya blanketi .
MkoaniMkuu wapi hiyo mvua plus blanket
OkayMkoani
Ongezea nyama utufariji zaidi tukuote naomba picha yako pm nitaftie usingiziUsiku Mwema na Mzuuuri kwa wale wenzangu na Mie tuliopo nyumbani tena vitandani sahizi,
Kwa wale mlioko huko 'duniani' watawa wish hao wenzenu na uchoyo wenu..!![emoji19]
Ndani ya blanketi kuna manyunyu ya mvua [emoji3][emoji3]sjakuelewa asee, au kuna mnyunyiziaji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Asante nawe pia, Tena manyunyu ya mvua kwa mbali ndani ya blanketi .
Kumbe sikua mwenyewe..nililala hata jf sikuingia nilijua wote mmeenda 'duniani'[emoji23] [emoji23]Usiku Mwema na Mzuuuri kwa wale wenzangu na Mie tuliopo nyumbani tena vitandani sahizi,
Kwa wale mlioko huko 'duniani' watawa wish hao wenzenu na uchoyo wenu..!![emoji19]
i love you![emoji7][emoji7][emoji7]Kumbe sikua mwenyewe..nililala hata jf sikuingia nilijua wote mmeenda 'duniani'[emoji23] [emoji23]
Sana..[emoji23][emoji23][emoji23]Pole Mkuu.. ila siye ndo tumelala uthingidhi mdhuuri.!!