Kweli bia tamu...

Kweli bia tamu...

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,612
Reaction score
65,065
Niko hapa pembeni mwa shemeji /wifi yenu tukiwa kwenye mapumziko ya sherehe za mwisho wa mwaka. Kinachonisikitisha zaidi muda huu, ni kuwa muda wote yupo bize na watoto tu; wakati na mimi mtoto wake mkubwa nipo, na hanipi attention yoyote.

Baada ya kushika bia tu, stress zote zimeondoka 😂😂😂; Nawatakia herry ya Christmass na mwaka mpya.
 
Niko hapa pembeni mwa shemeji /wifi yenu tukiwa kwenye mapumziko ya sherehe za mwisho wa mwaka. Kinachonisikitisha zaidi muda huu, ni kuwa muda wote yupo bize na watoto tu; wakati na mimi mtoto wake mkubwa nipo, na hanipi attention yoyote.

Baada ya kushika bia tu, stress zote zimeondoka [emoji23][emoji23][emoji23]; Nawatakia herry ya Christmass na mwaka mpya.
Acha ulevi
 
Kula bia mkuu..... and Merry Christmas
 
Back
Top Bottom