malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 2,778
- 2,703
Wakuu Kama kipimo kinavyoonyesha hapo mistari miwili mmoja umekolea Sana mwingne umefifia je kipimo iki majibu nipostive au negative?
Naambiwa inatakiwa iwe kwenye mstar namba 1& 2Anao ila bado haujakomaa
Ha ha ha inaviraka maisha magumuSakafu ina viraka hiyo....ila keshaukwaa huyo
Ndo ivo ....wa pili umekolea kwa mbaliiNaambiwa inatakiwa iwe kwenye mstar namba 1& 2
Pole mkuu,tujenge tu zetuHa ha ha inaviraka maisha magumu
Nasikia kuna HIV 1 na 2. Hapo kimstari kipo kwenye HIV ngapi vile?Wakuu Kama kipimo kinavyoonyesha hapo mistari miwili mmoja umekolea Sana mwingne umefifia je kipimo iki majibu nipostive au negative?View attachment 2053437
Achana na rapid Test..zinaweza kukutia kiwewe bureWakuu Kama kipimo kinavyoonyesha hapo mistari miwili mmoja umekolea Sana mwingne umefifia je kipimo iki majibu nipostive au negative?View attachment 2053437
Utata huo mzee sema vimelea ndo vinaelekea kustawi 😅😅😅 jiandae kubugia minjinguWakuu Kama kipimo kinavyoonyesha hapo mistari miwili mmoja umekolea Sana mwingne umefifia je kipimo iki majibu nipostive au negative?View attachment 2053437
Ikitokea miwili tu ni aidha mimba, malaria ama umeme!Nasikia kuna HIV 1 na 2. Hapo kimstari kipo kwenye HIV ngapi vile?
Mzee hamna kilichotokeaBut kama ushakula usijali,,,life goes on.kama bado mzime kichwa kwa nguvu akizirai sepa
Kipimo kinatakiwa kisome kwenye C-Control hapo unakua huna presha ila kikisoma 1/2 ni jauWakuu Kama kipimo kinavyoonyesha hapo mistari miwili mmoja umekolea Sana mwingne umefifia je kipimo iki majibu nipostive au negative?View attachment 2053437
Kuna mtu nimempima mzee sasa imetokea hivo nkastuka haraka sanaUtata huo mzee sema vimelea ndo vinaelekea kustawi jiandae kubugia minjingu
Ila ukimwi bhana.Ikitokea miwili tu ni aidha mimba, malaria ama umeme!
Rudia kupima tena yakija hivo mpeleke hosp aka confirmKuna mtu nimempima mzee sasa imetokea hivo nkastuka haraka sana
Mi ni mwanamama ambaye sijaufikia uzee bado...unaweza nipima pia mkuuMzee hamna kilichotokea