Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hapa pumpers, maziwa, clinic, ada za shule. Uvivu utakwisha na hata vibarua utalima.
17 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwa mda wa wiki kama 2 hivi hali yangu kiafya sio nzuri kutokana na huu upepo wa mafua makali, homa na kikohozi. Hapa nilipo bado nabanja kama trekta mbovu na kwa mbali kifua kama kinabana hivi...
42 Reactions
78 Replies
6K Views
Wakuu salama? Leo naona hali ya hewa kama imechafuka ghafla baada ya huyu dada kunambia habari za pisi yangu aka mchepuko. Leo tulikua wote akaniuliza kwa utani “sarah” ni nan kwako nikamwambia...
11 Reactions
88 Replies
8K Views
Hizi ni kwanini asilimia 95.5% ya wanawake waliobarikiwa kuwa na chura ya haja ambazo sio hizi feki za kichina sura zao hazina ushirikiano!? Yaani zigo kama zigo ila sura sasa kazi kazi no...
2 Reactions
8 Replies
773 Views
Wakuu habarini za wakati na poleni kwa majukumu ya kila siku, Iko hivi suala la break ups, usaliti na maumivu ya kimapenzi limekua suala linalosumbua takriban watu wengi sana katika mahusiano now...
6 Reactions
21 Replies
6K Views
Hakuna njia ya uzazi wa mpango inayoitwa kumwaga nje kwa kizungu (withdraw method) Habari zenu wapendwa Najua kuna baadhi ya wanaume wakikutana na wanawake kwenye siku za hatari husema watamwaga...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu pole na majukumu... Kama mada inavyosema hapo " hamna mwanaume mwenye kibamia" Baada ya kuona hii trend ya dada zetu kujiingizia vitu huko sehemu zao vitu kama chupa za soda wengine chupa...
6 Reactions
4 Replies
811 Views
Jambo ndugu zangu Leo nimekuja na mada mpya na itaji ushauri kutoka kwenu Kuna mwanamke ambaye tunapendana naye Na tunapanga kufunga pingu za maisha in the future Sasa mimi kuna jambo ambalo...
12 Reactions
145 Replies
11K Views
Et unamuita mke au mpenzi mama yangu, hivi mama yako akisikia unamuita dem au mke mama yangu atakuelewa kweli? Huo siniuzoba wakuu?
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Umri wangu miaka 32 mdada mwenye sifa zifuatazo anaitajika. 1.awe anapenda ugomvi 2.awe anatumia castle lite ata bingwa sio mbaya 3.awe na mtoto wasizidi 2 4.umri wake usizid miaka 34 5.awe...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuhusu Mimi, Miaka 36 Mkristo Mwajiriwa wa serikali Shahada ya uzamili Urefu 175cm, Uzito 66Kg Ninaye mtafuta -Umri 28 mpaka 38 -Dini yoyote lakini awe tayari kuwa mkristo. -Akiwa na mtoto siyo...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Tukiwa tunaelekea kuimaliza 2021 ni changamoto gani ya kimahusiano ambayo ulikutana nayo hasa katika marafiki zako na katika mapenzi na ulikabiliana nayo vipi? Na je vipi kuhusu mwaka 2022...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini za miida hii wana MMU tukiwa tunaelekea kuukata mwaka nami nimeona niwaeleze machache ninayoyafahamu Bila ya kupoteza mda twende kwenye mada huska kutokana na ndoa nyingi za sasa hivi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mtoto wa nje wa mke wangu (first born) bado yuko kwa bibi yake. Najiuliza nikimpenda na kumlea kutakua na madhara gani? Nawasilisha
3 Reactions
43 Replies
2K Views
So you always have to make sure to practice good habits in your relationship day-in and day-out. You don’t want to end up losing a perfectly good love just because of your recklessness, do you...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
September 28 ,2019 nikiwa nimekosa uelekeo wa maisha ya kimahusiano nilikuja hapa jukwaani ,Nikasema natafuta Mume ,kiukweli uhitaji nilikiwa nao lakini sikuwa naamini kama huku nitapata mtu,pili...
56 Reactions
129 Replies
11K Views
Wakuu habari za wakati huu. Girl Friend wangu anatarajia kujifungua ndani ya mwezi mmoja hivi ama zaidi kidogo. Sasa kama baba mtarajiwa ni kitu gani ama maandalizi gani natakiwa kufanya kabla...
10 Reactions
53 Replies
4K Views
Wakuu, Naombeni mawazo ya kisaikolojia ya jinsi gani naweza kujiondoa kabisa kwenye hili gonjwa la mahusiano na mapenzi. Nimejaribu ushauri niliokuwa nikipatiwa, mpaka sasa nimefanikiwa kwa...
9 Reactions
15 Replies
2K Views
Ukianza kuona kila mhudumu ni mzuri, ni dalili kwamba umeshalewa vya kutosha, nenda nyumbani kwa mkeo, ukalale. Kauli hii inazalisha moja ya swali muhimu sana ambalo labda linaweza kuwafaa walevi...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa wanawake wote ambao mmeolewa..... Mko kwenye ndoa zenu....... Na mashati yenu ya vitenge sare sare na waume zenu............. Salamu kwenu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nyie mlio kwenye ndoa...
12 Reactions
65 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…